Recent content by dem-wa-konabar

  1. D

    JamiiForums Tanzania Lara 1,Mamndenyi,Preta,Heaven on earth kama nikimpata mmoja wa hawa roho yangu.........

    Mwari-Wauliza karafuu zanzibar?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Lara 1,Mamndenyi,Preta,Heaven on earth kama nikimpata mmoja wa hawa roho yangu.........

    Hao wote..hawana bikin. Mwanamke bikin. Au umewapendea wanavokua wanavaa machupi yao makubwa?..
  3. D

    JamiiForums Tanzania Unavuta watu wa aina yako

    Ndo nn...sielewi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wanaotafuta Maisha Mnatia Huruma Ila Mnakuwa Kituko Mda Mwengine.

    Sa ndo nn?..sijaelewa..alikutia lakin ama?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tra assistant accountant possible questions

    Daah...shule tena?
  6. D

    JamiiForums Tanzania The Scoan Live Sunday Prayer Line

    Upo nchi gani?..kwa Tanzania yanapatikana Posta. Mkapa house..ground floor..karibu na duka la Mariedo. Utaona picha ya TB Joshua mlangoni. Kuna coordinator anaitwa Martha.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Eti clouds fm ndio radio kubwa kuliko zote kwenye "kaya" yetu

    Baba Jonii.....jana tumespend sana anga hizi na huyo dogo. Ana mashine hatar. Kama Sybogi
  8. D

    JamiiForums Tanzania Six pack ya Shilole

    Hihihihi....una madhira wewe!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mwenzio anakupa mahaba mazito, halafu wewe unaleta mapozi ,,haipendezi jamani

    Siku uliyokua unashauriwa kuhusu huyo mpenzio niliwasikia sana....si mlikua mmekaa karibu na wanapochoma nyama...nakumbuka wenzako walikua wanakushauri sana..wewe unang'ang'ania tu. Poyee...na bado!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naisikitikia JUMAPILI.

    We nae cha umbea. Sasa ndo nn asa thread kama hii. Acha kuharibu biashara za watu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania ni muhimu kuwa na laptop kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza?

    Aksooo...ndomaana!!!.kumbe zile mbwembwe zote za jana. .na zile valuu zote ulikua unanunuliwa sio?..poyee
  12. D

    JamiiForums Tanzania ni muhimu kuwa na laptop kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza?

    He!..nae mbahili jamani...mpaka niwe mamaako. Da!!..utaweza kweli kununua laptop weye?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Pigo la mwaka,Mwigulu aibomoa CHADEMA,mbunge wake na madiwani wawili kutimkia CCM!!

    Bado ana hangover huyu mliberari. Chezea valuu....jana nusura zimuue. Afu akaondoka na mwanamke wa ajabu kweli....ma ccm bana. Akili matope kweli
  14. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watawaambia nini watanzania 2015?

    Nitabia yake kukopa. Akija hua anakuja na mbwembwe nyingi..siasa nyingi..wakati wa kulipa inakua shida. Kwa kua ni mteja wetu hua tunamsamehe tu. Ila leo lazima anilipe hasa mimi nnayemdai pesa ya 4 good days with him. Tumbo kubwa akili hana
  15. D

    JamiiForums Tanzania Gari la M4C lazua kizazaa msafara wa Rais Kikwete Mwanza

    Jaman baby...nimekukosea nini mpenzi. Basi yaishe....ntumie hiyo vocha basi pls
Back
Top Bottom