Recent content by Delemy 004

  1. Delemy 004

    Bundi wa Ugoni Atua Kwa Askofu Malasusa

    mimi si mfuasi wa malasusa lakini hii story haina ukweli na ni hisia za mwanaume tu.
  2. Delemy 004

    Bunge kuonyeshwa live siyo jambo la kujadili tena, ni utekelezaji! CCM mtupe hoja za mashiko kuzuia

    Kwa hiyo mstakabari wa nchi unaeleweka kwa kuangalia bunge live na ukiangalia marudio hauuelewi! aisee akili za mbayuwayu changanya na zako.
  3. Delemy 004

    Bunge kuonyeshwa live siyo jambo la kujadili tena, ni utekelezaji! CCM mtupe hoja za mashiko kuzuia

    Ni upuuzi mtu kuona ni haki muda wa kazi akae akikodoa macho eti anaangalia bunge na kusubiri wapinzani wasusie bunge au wabunge walale bungeni ili apate kuongea katika mitandao. Nimekaa japan sijawahi ingia ofisini nikakuta TV inaning'inia ukutani watu wakiangalia bunge linajadili nini. wabunge...
  4. Delemy 004

    Hatimaye Rais Magufuli kumwajibisha waziri Charles Kitwanga

    ukweli kidogo chumvi kibao
  5. Delemy 004

    Usafi wa Zitto Kabwe

    story ndeeeeeeefu hoja punje ya ulezi. Haya nimesoma stori ila ninakazi zenye kunipa faida na story kaa nayo mwenyewe
  6. Delemy 004

    Saed Kubenea: Mbunge wa Ubungo aliyegeuka mkombozi wa Taifa

    hizo ni juhudi au kutokujua maana ya huduma ya usafirishaji!
  7. Delemy 004

    Mnampa ushauri gani huyu Jamaa?!

    [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
  8. Delemy 004

    Muhongo anaivuruga TANESCO, Magufuli yuko wapi?

    Unaonaje uende ikulu kutoa taarifa
  9. Delemy 004

    Dr. Shein: Sitoteua Makamu wa Kwanza wa Rais toka Upinzani, hawakukidhi vigezo

    Tunakuombea uongozi mwema. wajali wananchi wote pasikujali kabila wala dini.
  10. Delemy 004

    Rais Magufuli, hii nchi itakutia uchizi

    Sijajibu content wala uzi nimejibu maoni ya baadhi ya watu kwa ujumla
  11. Delemy 004

    Halima Mdee amtaka Rais Magufuli ataje posho na marupurupu anayolipwa

    Halima, Halima, unashindwa kuja na hoja za maana unaleta hoja za posho ya Raisi! Jamani kuna mambo ya msingi zaidi ya Posho ya mtu mmoja tena kiongoni mmoja wa nchi! Halima usianze kupoteza credibility yako kwa hoja mfu! mfano akikupa taarifa itakusaidia nini sasa! tuna taka hoja zenye...
  12. Delemy 004

    Rais Magufuli, hii nchi itakutia uchizi

    mnaosema atapata uchizi eti aache, mnafaidika na ujinga uliofanyika na unaoendelea
  13. Delemy 004

    Rais Magufuli akiri kuwa hakujiandaa kuwa Rais!

    uandishi wako unaonesha hata la saba hujamaliza, umeweza vipi kuona makosa ya lugha kwa magufuri! au ndo ninyi wenye akili za kushikiwa! wakiongea wajinga na nyumbu anafuata bila kuchuja ukweli!
  14. Delemy 004

    Magufuli ameshusha mshahara wa Rais au ameshusha mshahara wa Magufuli kama Rais ?

    Basi clouds si genge la wahuni! hata wewe ungefanya kazi pale tukakutazama kama unavyowatazama clouds usingefurahi hata kidogo. club ni tofauti na clouds! wanaopiga simu clouds si wote vichaa! nimekupata maana unayotaka watu waielewe lakini kiukweli naamini raisi hakukosea japo hapaswi kufanya...
  15. Delemy 004

    Magufuli ameshusha mshahara wa Rais au ameshusha mshahara wa Magufuli kama Rais ?

    Kijana naona leo umeamua. hongera sana japo nina shaka na hoja zako. mwache raisi afanye kazi yake. clouds alikuwa anaongea na wananchi na yeye ni mwananchi. usitake raisi ajitenge na jamii. huo ni utumwa.
Back
Top Bottom