strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,305
Jamaa anajaribu kuluka sarakasi kwenye transfomer
Hili linawezekana ila kwenye nchi za wenzetu... weka mbali na watoto hapa TZ!
Hivi huyu ni mwanaume wa Dar au wa mkoani..?
Mwanaume wa kijiji ulichotoka ww.Hivi huyu ni mwanaume wa Dar au wa mkoani..?
Basi wa mkoani...Mwanaume wa kijiji ulichotoka ww.
you are not serious ukiona hivyo wameambiwa wawakaushie ila hao watu ni hatari hata uko kwan wenzetu in short dunia nzimaHili linawezekana ila kwenye nchi za wenzetu... weka mbali na watoto hapa TZ!