Kuna Mfumo Mzuri Wa Uongozi sasa hvi, Makosa ya kipuuzi kama hayo na Mengineyo ikiwemo Kuchelewa kusajili na kupelekea ( panick buying) hatuyategemei, first choice ya kocha ndo inategemewa kuwasili kila position na kila usjili [emoji3526]
Zimezidi 12 ndo maana imekuwa Lost, kwa namna hyo ya matokeo ina maanisha gape(Tofauti ya vikapu) vianzie 12 na kuendelea, sasa hapo vipo vingii zaidi ya 12
Mim Huwa naweka Maji dirishani nakunywa huku nikiangalia Movie/Series, Yaliyobakia asubuhi au jioni nikitoka job nakunywa[emoji3][emoji3][emoji3], Yanafanya kazi kweli bila kunuia?
Hao hao wamemaliza nafasi ya 3 na kombe juu + Fainali ya FA, ukiongeza Mount msimu huu watabeba makombe 2, wewe timu yako ya viungo nyanya ina makombe mangap?[emoji3]
kutaja taja majina tuu nyimbo nzimaa tenaa kwa mistari isiyo na vinaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hii ni disi ya King Crazy GK FT. Pauline Zongo wimbo unaitwa TUPO PAMOJA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.