Hapana,binafsi ni kinyume na taratibu na sheria za Jeshi kuripoti katika CTS za JKT baada ya kufunguliwa kozi.Pengine yawezekana kuingia endapo watu ulioongea nao wana vyeo vikubwa au wana nyadhifa kubwa ndani ya kikosi husika Jeshini kama CO,Lt.Col,Col.,Major na kadhalika.