Recent content by dejust

  1. dejust

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  2. dejust

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu Swali na tusikasirikiane tafadhali je, haya Maandamano yajayo yasipofanikiwa tutakubali matokeo au tutaandaa mengineyo huko mbeleni?

    tutaandamana kwenye siku mapinduzi ya zanzibar, hadi kieleweke tarehe tuu zinabadilika
  3. dejust

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lindi: Wananchi waliorudisha Pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na Polisi

    LIwe jambo la kitaifa warudishe ama wa chome, kwanzia kofia tshirt, baskeli, toyo na kadi
  4. dejust

    JamiiForums Tanzania Wito wa kudumisha amani. Tusibaguane kiTanganyika na kiZanzibari

    Tushapiga hatua kwenye ubaguzi sasa tumeanza wa bars na wa viziwani, wachache wanataka ku control wenge haturud nyuma
  5. dejust

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali walaani Azimio la TLS

    HAo waserekali waseme msimamo wao kuhusu mawakili kupigwa mahakamani
  6. dejust

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Serikali huwa inawaajiri Mawakili wenye uwezo mdogo sana?

    Kutetea uongo ni kazi sana
  7. dejust

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CHADEMA wanaamini kupitia kauli zao kuwa watu hawatashiriki uchaguzi basi chama hakina viongozi

    Bila CHADEMA kusema wewe binafsi unataweza shiriki, kwa sasa Kila nafasi ni uteuzi hamna uchaguzi
  8. dejust

    JamiiForums Tanzania Je ipi legacy ambayo ameacha Job Ndugai ambayo itakumbukwa vizazi na vizazi?

    Kukuona Yesu na make wake #gabrieljesus
  9. dejust

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Alieye mnyima mwenzie hela ya matibabu kuondoka bila kutibiwa, tuishi kwa kuoendana hujui kesho ako
  10. dejust

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jezi za Yanga msimu huu Kutengenezwa na Nike

    Ngowi ni designer sio mtengenezaji, dili la utengenezaji ni GSM na anawapa yanga buku jero tuu
  11. dejust

    JamiiForums Tanzania Mwanaume una mke na watoto lakini unaishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio eti umepanga!?

    Hakuna baba mwenye nyumba ila Kuna gari la baba
  12. dejust

    JamiiForums Tanzania Je, Huu ni mwisho wa ubunifu mpya kwenye simu?

    UBunifu bado upo, waongeze kwenye milango ya fahamu 1. Kunusa 2. Kuonja 3 kugusa/touch
  13. dejust

    JamiiForums Tanzania Hivi Vyama 16 shughuli zao za Kisiasa wanafanyia wapi?

    Wao wanafanyia jukwaa la CCM
  14. dejust

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

    Mbona sisi tunatakiwa tuwe top 5
  15. dejust

    JamiiForums Tanzania Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

    Aweze kuongoza wasomi TLS afu huku chadema pamshinde
Back
Top Bottom