Ni kweli wengi wenye background hizo wako hivo, labda kuna vitu wanaviona kwenye mazingira wanayokulia halafu wanagundua kuna vitu vingi wanamisi huko ubahariani. Sema hata upole huwa unazidi mno hawa jamaa, mademu ni ku-consume as if there is no tomorrow ukiwa unamshughulikia.
Ukweli mchungu, kuna mama mmoja wa kilokole nilikutana nae accidentally asubuhi na hangover zangu akaachia mzigo kirahisi sana, then akala shoo ya kutolea hangover...'nadhani mabaharia tunafahamu. Sasa usumbufu wake sio wa kawaida, yaani ni mtengeza mazingira hasa. Sasa juzijuzi kanialika kwenye...
Msaada mkuu, niko na simu hapa ni huawei tag l21, ni software gani nzuri ya kuitoa frp nje ya sp flash tool, maana nimejaribu qualcomm naona nikiirun inakuja na ile error ya mfc100.dll japo nshainstall zile updates za ms visual c++ lakini bado qualcom haiendi msaada tafadhali wakuu.
Great sana chief, haya mambo yanahitaji kujifunza sana na technology inakua, nadhani mtu ukiwa competent lazima ikulipe sana. Wacha nijifunze hivi vitu vizuri mpaka niive, usichoke maswali mkuu
Dah mkuu hawa watu sijui huwa wakoje yaani, katika kuhangaika nshafanya kazi na muhindi, mchina na mvietnam. Hawa wote takataka aise kwenye utu
sawa ila ukweli utabaki palepale hawana utu, tukipata kona ya kusemea tunasema ubovu wa hawa watu
Ukweli mtupu, mwambieni huyu jamaa, A level ni muhimu kwa PCMs na P.. Nyingine lakini hawa H kunan four inatosha sana hata chuo hamna haja, Maana mpaka kule bado utakuta wako na 'What in noun'?
Yes, hapa atleast hawa wa msingi watapoozwa kidogo, ila dah nikikumbuka na pilinge za kile ki-system chao,, anyway ni kukaza mwendo mpaka migongo ivunjike.
Kama ni kweli hii movie ni ya kitoto sana na inaonekana hakuna maelewano katika uratibu wa mipango yao. Ndo maana hadi source ya hayo yote imejulikana mapema, au ndo posho kiduchu kwa watukazi? Shame on them. All in all nilipita asubuhi kwenye page ya dada na huyu jamaa nikaona hii notice nika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.