Pole ndugu yangu, post yako imenifanya nimshukuru mungu sana kwa mitihani michache niliyopitia, kumbe kuna wengine wamepitia magumu zaidi. Ila nikwambie kitu, usihuzunike kusababu huna mtoto amini kuwa Mungu anakusikia ila anatafuta muda mzuri akujibu maombi yako na akupatie mtoto mwema...
mbona kosa na adhabu unayofikiria haviendan! Ukimpiga ndio atajua ni kiasi gan unachukia tabia yake? Je ndio system unayotumia kusolve matatizo yk ktk ndoa? Kama ni yes, badilika mkuu.
Mmmmh
Nimesoma vzr post yako naona kama unapenda ila kuna kitu kinakuwekea kauzibe.
je mfano akatokea mtu akakutaka na hizo mvi zako, utakubali au utakataaa?
Wapo wanaotamani mvi zenu ujue?
Kama hakuna la ziada nnakwenda kufanya nn? na pia kwann hamuendi moja kwa moja mnarejea kwa wake zenu? hamuoni kuwa mnawaumiza wake zenu wanaokupendeni na kuwajali?
Mm binafis napenda sn kuaminiwa na mtu akiniambia uongo huwa naumia sn. Kusema ukweli katika mahusiano ni kuimarisha mapenz/ndoa. Nashukuru mume wangu anajua kuwa huwa sisemi uongo na ananiamin sn hadi naogopa.
leo naomba niseme hii, tangu nimeingia JF miongoni mwa wadada ninao wapenda ww ni mmoja wao. Unajua kwann? Bse una mambo kadhaa ambayo ninayapenda. Maisha yako huigizi (nionavyo mm)
Huu uzi umenigusa sn ila ctachangia bse nimelate na najua wadau wengi watakuwa wamesema mengi.
Ila unajua nn...
mkuu co kila unapoitwa unakuja tuu.
Mada inazungumzia ndoa na sababu za kuchokana, hii haijalishi una mke 1 au 10. Sasa ulichokiandika ni kutaka mdaharo mwingine ambao haupo hapa. Au ndio lazima uandike ili uonekane upo...tafuta sread yako uanzishe hiyo mada mkuu.
uhusiano utakuwepo, hata mm huwa najickia kulia lia tu na hacra zinakuwa juu sana. Mume wangu ni medical doctor huwa ananiambia nipumzike muda mwing na anakuwa mpole nikikacrika. Yy ndio aliniambia kuwa nina hilo tatizo nikikaribia mp.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.