Kuna wanawake wa aina tofauti, Wengine wana joto na wengine wanakuwa wa baridi. Kuna wengine wana maji kama mto rufiji na wengine wakavu kama singida hivi!(usiombe kukutana na wa hivi ,utaahirisha mechi hata dk 10 hazijaisha!) Ndoa/nyumba huficha mambo mengi sana ambayo watu wanakutana nayo ila wanayavumilia. Sio kila mtu anaenda kuomba ushauri. Mwambie aiweke psychology yake iendane na anayokutana nayo then atakuwa anajigijiii kama kawaida. Haya ni madhara ya kutiana na mtu huku unawaza utamu wa mwingine!