Recent content by deejo

  1. deejo

    Wajue Miss Tanzania wetu:1994-2011

    Tofauti inaoneka wazi kati ya wazamani na kuanzia era ya wema. Wazamani wote wanafshule na kazi za maana. Yani wema km kawatia gundu wenzie. Huyu wema agent wa shetani nini? Yani ye ndo km kalitia doa shindano la ma miss
  2. deejo

    RICK ROSS: Nilijua KILIMANJARO ni aina ya BANGI na sio MLIMA

    Mzee yuko right. Kwanza umekosea spelling, ni janitor au ulitaka sema generetor, senator. Acha.utumwa wa fikra na Kutetea upuuzi
  3. deejo

    Falviana Matata vs Jokate Mwegelo

    Flavi anatisha, kidoti anatapa tapa
  4. deejo

    Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

    Ndugu Pdidy pole sana ndugu yangu najua una hasira km mimi. Ht mi mwanzo niliwalaani sn lkn baadaye nikaja kuwaelewa kwamba hawakuwa na nia ya kuomba msamaha bali ni NJAA ndugu yangu. Hebu firikia mwenyewe, hao watu serikali ilikuwa ndo inawatema wkt washapigika kusoma miaka 5 i.e bila ajira...
  5. deejo

    mustafa hassanali...

    Yes!mbona mwenyewe anasema wazi tu? Hujui km ***? Cheki ht anavyoongea kishoga?
  6. deejo

    Women and Freemasons

    Ushasema secret society basi ujue yako mengi usooyajua.Ni exclusively kwa wahusika. Hayo ya mitandaoni zuga tu. Kwani wao wajinga waanike mambo yao?
  7. deejo

    Women and Freemasons

    Queen Elizabeth, Rihanna, lady Gaga
  8. deejo

    Gadna G Habash kurudi tena kusikika redioni

    Mi sijaona km majany amekashifu hapo.
  9. deejo

    M'kiti wa freemasonry asema haina ubaya, no mahela

    Jueni kwamba hawa watu kujidhihirisha wazi ni every sign kwamba ile siku imekaribia i.e anti christ anaanza kazi yake.haya mambo yalikuwa siri kubwa zamani,jiulize why disclose now? Mwenye masikio na askie
  10. deejo

    M'kiti wa freemasonry asema haina ubaya, no mahela

    M'kiti wa freemasonry akihojiwa na Gerald Hando wa clouds TV asema kuwa freemason hamna ubaya na hamna mahela km wengi wanavyodhani bali it's all about networking na kusaidia jamii.Kaipamba freemasonry vibaya sana na kukaribisha watu wajiunge. Ama dunia imeisha, yani mambo hadharani!
  11. deejo

    mustafa hassanali...

    Surgery yemyewe naskia very expensive. Kwa yeye alisema aliimudu kwa kulipiwa na mumewe kwa kuwa mumewe huyo hapendi kumwona akiwa bwanyenye
  12. deejo

    Unamjua Sheikh Sharif? StarTv Mcheza Kwao!

    There's no way mtoto wa miezi 9 kuongea, ni majini hayo!
  13. deejo

    Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

    Naskia kuna mashoga wawili walipigana after press conference flani hivi mwaka jana wakimgombania kila mmooja alikuwa anadai "wangu mie, wangu mie!!". Shigongo mwenyewe kuona hivyo akaingia mitini
  14. deejo

    Miss wa Lundenga ashiriki shindano nje kinyemela

    Sikapendi haka katoto. Kanatafuta umaarufu kwa nguvu km Lulu wa Kanumba.Halafu role model wake ni Wema sepetu. PATA PICHA! Sijui kataishia wapi tufuatilie hii tamthilia yake,,,yasije kuwa ya km ya Lulu
Back
Top Bottom