Recent content by deecarter

  1. deecarter

    Battle: Kenyan vs Tanzanian musicians

    Kama unaona Kenya au Tanzania ipo juu katika upande wa music and entertainment market, let us know with evidence na nchi gani musiki unalipa kati ya hizo nchi mbili.
  2. deecarter

    Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

    mmesahau JWTZ inajukumu la kuhakikisha TZ na majirani zake wanakuwa salama pindi wanapopatwa na vita
  3. deecarter

    Kwanini wasichana wa Kenya wanawapenda sana Watanzania?

    jibu hoja hayo mengine cc hatuyajui
  4. deecarter

    MSAADA KUHUSU TRAFFICS

    ndugu vipi kuhusu blog kutokutokea kwenye googlee search
  5. deecarter

    LUGHA YA TAIFA TANZANIA INAZIDI KUPENYE NJE YA TANZANIA

    Dah hua nafurahi sana kusikia kunanchi zimeanza kuitumia lugha ya kiswahili kama lugha inayotumika mashuleni au hata kuipitisha kuwa lugha ya taifa kama majirani kenya na kwasasa nchi zote zinazo izunguka tanzania kwenye mipaka yote zinaonge kiswahili sio chini ya 30% wakiongozwa na Kenya ambayo...
  6. deecarter

    MSAADA KUHUSU TRAFFICS

    Msaada jameni jinsi ya kupata traffics kwenye blog(blogspot) au iko vipi sjaelewa zinapatikanaje kwa anaejua tufumbue macho
  7. deecarter

    Gari lililozama na kuua wawili laonekana baharini

    we hujui kitu mwenzio kaisha edit makosa unakuta mambo shwari unaanza kubwatuka
  8. deecarter

    Uuzaji wa bidhaa za Kenya Uchina waongezeka asilimia 74% hongera Uhuru kwa hili

    me kama MTZ napenda kusikia mafanikio ya mwAFRIKA yeyote yule nawapongeza majilani kwa kupiga hatua hiyo
  9. deecarter

    Tanzania maisha rahisi sana

    hiv ni vituko yani mnaanza kutafuta data kwenye magroup ya messanger mnatuambia et ni comment alaf hao watu wenyewe ukisoma unagundua ni wahuni tu
  10. deecarter

    Wataalamu wa Blogspot: Naomba msaada Blog yangu haionekani kwenye ‘google Search’

    Ndugu wataalam wa blogs msaada jaman nimefungua blog kupitia blogspot nimeiverify na google console nikaiunga na TAG MANAGER lakin bado haionekan kwanye GOOGLE SEARCH chochote unacho kijua ni msaada tosha usijidharau ndio tunaeleweshana msaada jaman natanguliza shukran zangu
  11. deecarter

    Kenya has the best of everything orally, but nothing on the ground really

    bado mnaonesha udhaifu wa hali ya juu yaan mpaka waje ma diver wa SA ufara gan huo
  12. deecarter

    Kenya has the best of everything orally, but nothing on the ground really

    dah yaan kuokoa kagari tu mpaka msubiri wapiga mbizi kutoka S.A na hii n siku ya nne kmbe TZ n balaa feri iliokolewa ndani ya siku 1 tu baada ya ajari
  13. deecarter

    Siku Mwalimu Nyerere akirudi...

    Siku mwalimu mwalimu nyerere akirudi atashangaa kuona mabadiliko yaliopo mwalimu atashangaa akiona lile shirika kubwa EA la ndege likifa alafu lile dogo linazidi kuchipukia Mwalimu atashanga akiona zile flyover za majirani znaonekana kama tudaraja tudogotudogo akizicompare na za nchi yake...
  14. deecarter

    Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

    mabas mazur ila hzo sticker znayafanya yaonekane kama mikoche
  15. deecarter

    Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

    kama n hvyo kumbe hata nyama sio mboga ndio maana ikaitwa nyama
Back
Top Bottom