Kwanini wasichana wa Kenya wanawapenda sana Watanzania?

Mombasa vs Dar es Sluum inakutoa jasho ikabidi ujaribu kuhepa kwa kufungua nyuzi nyingi eti "ku-neutralise" lakini wapi? Bado tutachangia Hadi humu . Umeona aje dual carriageway za Mombasa kushinda za Dar? 😂
Our 2nd City is at par with your only City.
jibu hoja hayo mengine cc hatuyajui
 
Hhhhhhhhhhhhhhhhhhhh dah hii kauli yako ya ben pol kufugwa km pet imenimaliza
Heri wenye shobo kuliko wale wenu video zao huvuja...
Byda, km huna hela sahau mdada wa kenya..
Ama basi labda ukubali kufugwa km pet km vile ben pol
 
Hahahaha, upepo wa kisulisuli umeshafika Kenya, wanajileta kwa kasi ya ajabu.

Waschana Wakenya wamegundua kwamba yeyote akiwa superstar Bongo huwa hataki madem wa kibongo tena maanake wengi wao wako shallow and uneducated. Mastar wa bongo hutafuta mademu wa Kikenya sana ndio wawachanue yaani, our women give bongo superstars the class that bongo gir;s can never meet. Ndio maana warembo wa Kikenya huchukua advantage. Lakini hutampata mrembo wa Kikenya akimfuata boya fulani kwa jina Joto la Jiwe...........
 
Back
Top Bottom