MSAADA KUHUSU TRAFFICS

thesym

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Messages
3,198
Points
2,000

thesym

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2012
3,198 2,000
ndugu vipi kuhusu blog kutokutokea kwenye googlee search
Ongeza sitemap.xml kwenye google search console.

Na kama tayari una search console index pages zako manually.

Pia ruhusu googlebots kwenye file la robots.txt

Kwani blog yako ina muda gani.
 

Forum statistics

Threads 1,355,648
Members 518,708
Posts 33,114,793
Top