Tushaachana ila no yangu anayo yake ninayo nimepost picha ya EX wangu wazamani anaumia kwanini nimempost EX wangu kwanini bado anaumia wakati ye ndo kaniacha nashindwa kuwa free.
Ili neno COVID moja tisa sasa kwangu limekuwa chukizo na kunikatisha tamaa ya maisha kutokana na taarifa mbali mbali ninazoziona mitandaoni kuna mitandao naipenda lakini kila nikiingia saizi ni taarifa za covid tu hasa ninaposoma mambo ya dawa ambazo zinatangazwa tangazwa ovyo bila uthibitisho...
Simaanish mambo ya umbea mimi sio mmbeya yan mfano kama nimesikia kitu kusu mimi nakuwa sio mvumilivu yan lazima nipanic
Sent using Jamii Forums mobile app
Najikuta kutoweza kaa na kitu moyoni yani nikikisikia tu situlii nacho nataka kuacha hii tabia nifanyeje nina mtindo wa kupanic.
Sent using Jamii Forums mobile app
He did some mistake to me so i tried to find some advice to his friends and relatives in order to solv our conflict but it was a big case after knowing this he didn t want to hear anything from me since that day! He started to shout about it.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.