Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,329
- 3,399
Ooh narekebisha comment yangu sitaki tena kudaka chozi kwa mtu kama huyu. Aendelee kupambaniaHuyu ameharibu mahusiano yake sababu ya mdomo, ya chumbani anatoa nje akiona anamkomoa mume....
Ufala fulani hivi.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
