Recent content by Deceiver

  1. D

    Mitambo ya Bwawa la Mtera yapata hitilafu, mikoa 14 kukosa umeme

    Ropes. This is not right, huna njia nyingine ya kupiga hela? Inamaana nchi hii umeme mwingi unatoka Mtera. Huku kinyerezi na Ubungo na nyumba ya mungu na Pangani kunazalisha asilimia ngapi?
  2. D

    Wananchi Kibamba Shule walalamika nyumba zao kubomolewa na TANROADS bila kulipwa fidia kesi ikiwa mahakamani

    TANROADS Ni serikali. Serikali hiini ya CCM. Wewe johnthebaptist Ni chawa wa CCM. Imekuwaje leo ?
  3. D

    Mkurugenzi wa Wilaya ya Muheza asimamishwa kazi kwa kushindwa kumudu majukumu

    Familia yake imemshinda kuongoza itakua mtaa? Mke wake Sasa atapunguza presha maana duh.
  4. D

    Wanaoisema vibaya serikali mitandaoni kukiona

    Serikali yoyote ile ikishindwa kuealetea maendeleo wananchi inaanza kuwabambikia kesi wananchi. Mnamkumbuka Moi na pale underground nyayo house ambapo Sasa hivi Ni museum? Je nduli? Au Lungu, Banda je?
  5. D

    Aliyeporwa "Range" na Makonda alipuka, atangaza kwenda Mahakamani

    They will get him within this administration. I am reliably told Makonda lives like an antelope. Always on the look out. 7baya has now been behind bars for over an year now.
  6. D

    Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

    Hata Kama mwanamke hajui kusema NO. wewe mwanaume utakwendaje kwenye nyumba ya mtu na kufanyia kwenye kitanda chake, chumbani kwake? Ukiiba mke wa mtu Kimara hakikisha mnakwenda gesti za Gongo la mboto au Kisarawe kabisa.
  7. D

    Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

    Awamu ya sita na waarabu dam dam. Waarabu Ni wenzetu maana tunaoleana na tunaishi nao huku Magomeni mapipa
  8. D

    Kwenda benki CRDB ni mateso, nimekoma

    Utadhani hawaendi chooni
  9. D

    Kwenda benki CRDB ni mateso, nimekoma

    Jana nilikua CRDB KIBAHA ,Hili Ni tawi la kimkoa, Kuna keshia mmoja tu, keshia wapili yupo Ila anakagua simu yake hapokei Wala kutoa pesa. Keshia wa tatu anahudumia watu wa Mpesa tu. Banking hall imejaa a/c imezidiwa nobody cares kibaya zaidi hakuna choo within one kilometre. Choo wanacho wao...
  10. D

    DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

    Huna akili. MTU anatumia hela yetu ya tozo wewe unamkosoa anaye tuhabarisha
  11. D

    Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

    Baba yake Moo asnaitwa Gulam Dewji ambaye Ni Kaka mkubwa wa Azim Dewji mfadhili wa Simba enzi hizo
  12. D

    Kangi Lugola anafaa kuwa mwenyekiti mpya wa parol

    We we we temea mate chini. Sio mwaminifu kabisa huyo. Kama mnamtaka Sana mpelekeni chamudata.
  13. D

    JamiiForums Usiku wa manane

    Wanawake mtuhurumie
  14. D

    Upakiaji abiria ulipitiliza wa basi la mumuk, arusha - bukoba - karagwe leo jumamosi - 27 Aug 2022

    Usijali wengi wa hao abiria Ni watani zangu wahaya. Wanajifanya wasomi kumbe wanapakiwa Kama mbuzi
  15. D

    Kwa mara ya kwanza nimebahatika kulala na msanii wa bongofleva

    K zao hazina lolote Kama k za wanawake walio Soma Sana. Ogopa Sana K ya hausgel anayefanya kazi kwa geti kali nyumba ya singo maza mwenye watoto wadogo
Back
Top Bottom