Recent content by debrakabra

  1. D

    Rombo, Ardhi yapata moto kiasi cha kuchoma nyasi

    Hii issue iliishia wapi wadau?
  2. D

    SGR: What really happened here?

    Jamaa kapiga picha asubuhi sana kabla hakijaamka.Hicho kilikua kimelala tu kujipumzisha baada ya pilika nyingi za mchana kutwa.
  3. D

    SGR: What really happened here?

    Jamaa kapiga picha asubuhi sana kabla hakijaamka.Hicho kilikua kimelala tu kujipumzisha baada ya pilika nyingi za mchana kutwa.
  4. D

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Barabara ya Makongo - Ardhi University imekua kero kubwa.Hii ni ring-road but ujenzi umeishia upande cha Goba. Magari yanayopita hii barabara ni mengi, more than 70,000 per day. Tunaomba TANROAD wajitahidi, wamalize ujenzi wa barabara hii. Kwa kweli imekua ni kero kubwa kwa watumiaji na wakazi...
  5. D

    TARURA barabara ya makongo juu goba imeshindikana?

    on 30th January, TANROAD ameshatangaza tender kwa wakandarasi.Deadline ya ku-apply ni 20th Feb 2019. So deal done.
  6. D

    TARURA barabara ya makongo juu goba imeshindikana?

    Naona leo wamewakumbuka....barabara inachongwa kipindi hiki cha mvua..ahahaaaa
  7. D

    Uzinduzi wa Maktaba UDSM: Rais Magufuli amtaka Lowassa akawashauri anaowaongoza, otherwise wataishia magerezani wakajifunze kufuata sheria

    Hongera mkuu wetu wa Mkoa wa DSM, Mh. Paul Makonda kwa kuimbuka barabara ya Ardhi-Makongo Juu-Goba mbele ya Mh. Rais, JPM. Sikiliza kuanzia dk ya 45.00 mpaka 46:20 Hongera JPM, Hongera Makonda, Hongera wana DSM, Hongera watumiaji wa hiyo barabara!
  8. D

    Natafuta fremu ya kupanga (Biashara) - MBEZI MSUMI

    Wadau, natafuta fremu ya biashara maeneo ya Mbezi Msumi (Wilaya Ubungo). Mwenye kujua plz nicheki kwa 0755 255 768.
  9. D

    Rais Magufuli amteu Dalmas Lucas Nyaoro kuwa mwenyekiti wa bodi ya TANROADS

    Sawa but kuanzia Goba kwenda Makongo imejengwa na TANROAD. Kumbuka hii mojawapo ya "ring road' ambayo TANROAD waliainisha kuijenga kwa ajili ya kupungu foleni katika jiji la Dar.
  10. D

    Rais Magufuli amteu Dalmas Lucas Nyaoro kuwa mwenyekiti wa bodi ya TANROADS

    Asimamie barabara ya Ardhi - Makongo Juu - Goba iwekwe lami
  11. D

    Barabara ya Ardhi - Makongo Juu - Goba

    Habari Wadau, Tunaomba mwenye kujua kinachoendelea kuhusu ujenzi wa barabara ya Ardhi - Makongo Juu - Goba (kipande cha Ardhi - Makongo Juu). Ni muda mrefu umepita, kumekua na sintofahamu, na wananchi hatujui kinachoendelea. Kwa jinsi ujenzi wa Interchange ya Ubungo unavyoshika kasi...
  12. D

    Natafuta contact za Mwalimu wa Primary school - NAITEDAM au PRECIOUS SCHOOL anayeishi Makongo au Goba

    Habari wadau? natafuta wa primary school (English Medium) anayeishi Makongo au Goba. Naomba unitumie contact zake via 0755255768.
  13. D

    Natafuta shule ya Nursery maeneo ya Mwenge, Makongo, Sinza

    Naomba mwenye contact za mwalimu wa NAITEDAM (Makongo Juu) au mwalimu Precious (Goba) plz. Unaweza kuni-inbox
Back
Top Bottom