si bora iyo ya kwenu huko miaka mitano hii ya kwetu hapa kimara kingongo ina miaka kenda hata kuguswa haiguswi nadhani siku zinavyozidi kwenda tunaweza kutana na shetani uko chini maana si kwa mashimo hayoMwaka wa 5 sasa haiendelei ila mnaendelea na barabara zisizo na foleni kinachokwamisha ni nn
Naona leo wamewakumbuka....barabara inachongwa kipindi hiki cha mvua..ahahaaaaMwaka wa 5 sasa haiendelei ila mnaendelea na barabara zisizo na foleni kinachokwamisha ni nn
on 30th January, TANROAD ameshatangaza tender kwa wakandarasi.Deadline ya ku-apply ni 20th Feb 2019. So deal done.Bado sana