Recent content by debrah

  1. debrah

    UKAWA wanyaka nyaraka juu ya Mpango wa kifisadi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa

    We umesha chukua chako mapema ndomaana unaongea ujinga ww na sumu lenu moja mnatakiwa kufukuzwa huku ndani kabisaaa mnapotosha jamii
  2. debrah

    UKAWA wanyaka nyaraka juu ya Mpango wa kifisadi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa

    Nakweli we ni sumu haswa yaani unadiriki kusema no kwa ukwawa pita ivi sisi tunaiunga mikono na miguu UKAWA....
  3. debrah

    Nimekua natokewa na hali inayohatarisha maisha yangu

    yesu ni jibu la mambo yote ukiokoka huo ndio utakua mwisho wa hilo tatizo lako
  4. debrah

    Joyce Kiria acha kudhalilisha wanawake wenzio ili upate umaarufu

    Wewe utakua una madhambi unaogopa atakukamata akuaibishe namkubali sana maana wanawake 2mekuwa wauaji anafanya jamba zuri sana we kama haumpendi pita kushoto
  5. debrah

    Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    Mm nipo chuga panatisha kwa ajili ya giza..... hii ni aubu ya ajabu.... ili swala linatakiwa liwekwe kwenye maajabu ya dunia
  6. debrah

    kabla ya picha, hebu flash kwanza.....

    Looooooo aibu gani hii au maji ya shida
  7. debrah

    Swali la leo?

    Yaani mwanaume mwenye zarau,sharo baro, muongo,anaejiona mzuri,mlevi,mwenyematusi,anaevaa mlege sipendi kabsa mwanaume mwenye tabia hizo
  8. debrah

    Wanaume wote yafaa tuijue siri hii..!

    Kweli kabisa umesema jambo lenye ukweli 100% yaani ndo hali alic iyo
  9. debrah

    Wanaume wote yafaa tuijue siri hii..!

    Kweli kabisa umesema jambo lenye ukweli 100% yaani ndo hali alic iyo
  10. debrah

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Yaani ushauri wangu wangeuweka uwo mwenge kwenye makumbusho mwenye shida akauangakie huko unamakiza ela2 ndo maana kila kukicha zinazinduliwa kodi mpaya
  11. debrah

    Kwanini Idadi Kubwa Ya Walokole Ni Maskini?

    2po walokole wenye ela tumenyamaza siri kubwa ni kumtolea MUNGU kwa uaminifu atakubariki si kweli kabsa kua walokole ni maskini....
  12. debrah

    Fedha za safari za rais zapigwa panga

    Msidanganyike na maneno yao hawapigi panga wa shoka wanawadanganya hao zipo palepale haipunguzwi hata sent moja
  13. debrah

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Wa2 mnatakiwa kujua kutoa ni moyo utanlazimlazimishaje mtu akuchangie waungwana kwani haruc siyako cmpendana nyie wawili kama mnataka kuoana muweke bajeti yakutosha mclazimishe wa2 kuwachangia.....
  14. debrah

    Ndoa ndo shule ngumu kufaulu duniani.

    :confused::confused::confused::confused:
  15. debrah

    Kasinde mie nimechoka kabisa...!

    Mmmmmh pole shocti.......
Back
Top Bottom