Kasinde mie nimechoka kabisa...!

Kasinde mie nimechoka kabisa...!

Wallah naapa nikikuta mahali mwizi kakamatwa anapigwa, mie ntachukua prize tuu kisha nafungua zipu yake na kuminya yale mayai mawili hadi aombe poo baaas!! so kuanzia sasa hv natembea na prize kwenye pochi.
Pooole sana kwa yaliyokukuta ..

Lakin nan kakwambia kwamba wezi wanakuwaga wanaume tu?
.
.
Na unajuaje kama aliyekuibia siyo mwanamke?
.
.
Na siku ukikuta mwanamke ndio mwizi kaiba anapigwa utamfungua wapi ubinye nini mpaka aone baaas aombe poo?
 
Asantee, najua kuwa wapo wezi wanawake pia ila aliyeniibia mimi alikuwa mwanaume coz kwenye ule mzunguko hakukuwa na mwanamke.
Siku nikikuta mwizi anayepigwa ni mwanamke, ntafungua blouse yake na kushusha bra yake kisha ntakamua maziwa hadi yatoke hata kama hanyonyeshi, ila sitamkamua na prize ntamkamua kama ng'ombe anavokamuliwa na hapo lazima aombe poo. Hasa maziwa yakiwa makubwa prize haitaingia.
 
labda kabla haja send kamtumia mtu lol...
some lucky dude ....:biggrin1:

and who is that lucky dude.....:smile-big::smile-big:

una kiranga weye si bure, hahaaaa haya bana
 
That will be a back up u know....akipata simu nyingine anamwambia amrushie back lol

Hahahahhaaa mbona wanaume nyie ni wachokozi hivo loooh!!! mie data zangu huwa nazisave kwenye gmail na ndomana immediately nazidelete kwenye simu, na hapa japo sijapata simu ingine lakini nikiingia kwenye gmail napata picha zangu zote na kila kitu...🙂

wewe na The Boss ni wachokozi nshawaona ivoo
 
Good....we unavotuchokoza na crash zako je hatusemi?:what:
 
Nilikuona kumbe ndo wewe Kasinde.Kama unakumbuka RAV 4 ya blue iliyokuwa nyuma yako na nilitaka kusimama pale baada ya kuona vijana wa bodaboda wanakuzunguka ila time ndo ikawa tatizo.Pole sana Mkuu
 
Nilikuona kumbe ndo wewe Kasinde.Kama unakumbuka RAV 4 ya blue iliyokuwa nyuma yako na nilitaka kusimama pale baada ya kuona vijana wa bodaboda wanakuzunguka ila time ndo ikawa tatizo.Pole sana Mkuu

hahahaa ndo mie, asante nshapoa.
 
Back
Top Bottom