Mfano mtu kashajenga msingi kajaza kifusi vyumba 3, nyumba ya urefu 15 upana 11 , master urefu 4.5m kwa 4.1m, vyumba viwili kila kimoja 3.2m kwa 3.3m, stoo 1.5m kwa 1.2m, lounge 5m kwa 4m, dinning 3.1m kwa 3m, kitchen 3.1m kwa 3m kunyanyua boma hadi kupaua inazidi 35m? Maana kuna hesabu...