Recent content by De Professor

  1. De Professor

    JamiiForums Usiku wa manane

    05:20
  2. De Professor

    Jambo gani la ajabu ulishuhudia likifanywa na mtu kwa siri akidhani haonekani?

    vyoo vya airpot nyingi hata sehemu muhimu nyingi huwa kunq camera ndogo ndogo za siri sana hasa karibia na matundu ya kukojolea
  3. De Professor

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Acha uongo, jibu la kweli niliwapa
  4. De Professor

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Leo na Kesho muwe na bandle la kutosha. Trust the process
  5. De Professor

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Safi, basi weka kipind au uanzishe uzi mwingine ili usiingiliane na huu uwe unaelezea Dawa na inatibu nini, ili walau huyo kiumbe wa fimbo watu wa jF wafaidike nae, unaeza elezea ugonjwa huu na huu Dawa yake ni hii hii, au ukichukua hiki na hiki ukafanya hivi kinatibu hivi hapo kwa week...
  6. De Professor

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    page no 78 nimeuliza maswali mawili ila hujajishughulisha kabisa, nitakumbushia mpaka ujibu maana yamekua maswali yangu 3 sasa ambayo unayapita tu. Lingine niliuliza juu ya makanisa fake na manabii fake utupe list ila kimya.
  7. De Professor

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Pia Simba emu zungumzia tiba. mfano kama ulivyoanza habari ya huo udongo, sasa anza kusema ukiwa na tatizo hili na hili tumiq hiki na kile, au kuna mti flani au dawa flani inatibu mambo haya na haya na haya. watu watajatibu humu wataleta mrejesho na baada ya week au mwez watakua wamenufaika...
  8. De Professor

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Uzi wako Simba toka day 1 mpaka leo umesema mengi na kiumbe wako. ENatamani utuelezee amekufanikisha vipi kwenye maswala ya Uchumi mpaka sasa upoje na unamiliki nini? vipi kisiasa? vipi ki elimu ya Darasani umesoma mpaka Elimu gani maana kama ukimtumia huyo kiumbe ki elimu ya Darasan huenda...
  9. De Professor

    Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

    Sasa kwanini kunakua na utafauti mkubwa wa Bei na Masaa au longtivity of the medicine kutokana na maelezo yenu wataalamu mlivyotuelezea
  10. De Professor

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Muulize Kiumbe wako akutajie majina ya manabii fake au Makanisa yao uje na Orodha, [Angalizo lijibiwe streight bila kupigwa chenga au kujibu kisiasa] Au kama alikwisha sema tuambie, ukwel wa kina Zumaridi corazon
  11. De Professor

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    IT huwa hana kosa, IT anakua ameshaingiza details zote na zipo tayar anangoja tamko la kiongozi ku upload mzigo. So kiongozi akisema keaho asubuh release mzigo au jion kitu kinaitika, ila IT hawez achia mzigo pasipo order toka juu. Ova
  12. De Professor

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dawa aliyotumwa na Bibi yake kwenye kikao ushampatia kafanikisha jambo ki wepesiiii 😅🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom