Recent content by de hunter

  1. D

    Kwanini Rais Magufuli hakuenda kwenye msiba wa Rais Aboud Jumbe Zanzibar?

    Mh.wazir mkuu aimwakilisha anatosha
  2. D

    Jakaya Kikwete, umeshindwa kumzika Aboud Jumbe?

    jamani hebu mwacheni baba wa wat apumzike kila siku kumsakama tuu kwanilazima na yy awepo msibani utajuaje labda alimtuma mwakilishi MWACHENI APUMZIKE BABA WA WATUUU
  3. D

    Elimu bora Tanzania ni zaidi ya madawati

    Kweli kabisa mkuu wawaajiri tu waalim maana bado tunaupunguf mkubwa ktk shule zetu
  4. D

    Nape: Chombo cha Habari kitakachoripoti habari ya kichochezi kitahesabiwa kuhusika na uchochezi

    Awaache watuoneshe watakaopigwa kwa kujifanya viherehere na watakaokua wanamjaribu Mh.Mkuu
  5. D

    NACTE waongeza muda wamaombi

    Jamani hebu watoe bhasi kila siku kuongeza muda tu
  6. D

    Nahisi nina maumbile madogo, naomba msaada wa mawazo

    Ndio maana nachukia kuoga zaidi ya mmoja maana kuna mengine y kukatisha tamaa Jiamini
  7. D

    Nasaidia ambao hawajaapply vyuo kupitia CAS-NACTE

    Mkuu ni jambo jema ulilolianzisha Me naomba kujuzwa juu ya hii ya kuhusu walioapplay ualimu diploma je kama hauko selected unafanyaje na wamesema usibadilishe machaguo wakat mwisho wa application ni tr.5.8.2016 Mimi ni muhanga
  8. D

    Msaada wa bure unaendelea kwa waliokwama NACTE

    Me pia nnashida jee ww uko nacte au umeamua tyu kujitolea
  9. D

    Kama wewe hujaribiwi, basi na sisi usitujaribu!

    Fuata sheria bila shuruti kwa usalama wako, mali zako na kizazi chako cha sasa na kijacho
  10. D

    Tahadhari: Mbowe ukishindwa movement ya tarehe 1, mpishe Lema awe mwenyikiti wa chama

    Ni heri ukae nyumbani kuliko kujitoa muhanga kwa ambalo litakugharimu ww na familia yako muda mrefu
  11. D

    Naweza kujifunza wapi lugha ya Kiarabu?

    Kirinjiko wanatoa diploma hiyi (kama sijakosea)
  12. D

    Msaada kuhusu NACTE

    Habari zenu wakuu Naomba msaada kuhusu nacte kutokana na kua niliapplay diploma in primary education inanionesha sijachaguliwa lkn ktk vyuo vyote inanionesha ninanafasi nisubiri second selection. Na ktk hivyo vyuo idadi ya walioomba ni kubwa kuliko uwezo wa vyuo sasa nashindwa kuelewa je...
  13. D

    Je namba za simu za NACTE zinapatikana muda wote?

    Ni kweli mkuu namba za nacte ukizipata ni bahati sana mara nyingi unaambiwa hazipatikani au inatumika na inaweza ikawa hivyo mpk ukachoka mwenyewe me naona ni bora tyu kufika ofisi zao kwa msaada zaid hapa nilipo nawaza ni bora tyu niende ofisini kwao ili nijue mbivu na mbichi
  14. D

    Napendekeza serikali ihamie Arusha badala ya Dodoma

    Wanahamia pale kwa sababu ndio katikati ya nchi na pia pana usalama zaidi kuliko miji mengine
Back
Top Bottom