Inashangaza sana wadau, najua wengi watakuwa wameshakutana na vimeo vya aina hii. Demu unakutana naye some where, barabarani, vyuoni, au sehemu yoyote... may be kwenye bus unatoka zako Dar kwenda Moro.... mmekaa siti moja, story hakuna...lakini mnapofika kibaha maili moja kwa kuwa ww umekaa...