Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,437
Aisee,this issue is very serious.
Mwanamalundi sio kwamba hayatuhusu hahahahah ulipotelea wapi mkuu?!!Aisee,this issue is very serious.
Nilikuelewa sana mkuu ndo maana nikasema vilungu ndo njia rahisi ya wao kujirahisisha au kutongoza, dijitali hii mkuu@ HARUFU, Wanawake kuwa na gats za kutongoza si kosa kabisa kwani wao ni binadamu na wana hisia kama mtu yeyote yule. Tatizo wewe hujaelewa what was the point!!?... the point is... inakuwaje hata sijakutongoza, hatujuani bado...unaanza habari za oooh nina shida ya laki moja.., ooooh elfu hamsini from no where!!.. kuna siku mtavamia majini!!! .... au tongoza ya mademu ndio hiyo!? Labda Harufu utuambie kama swaga za kike za kutongoza zinaanza kwa virungu may be unaweza kueleweka (na wachache lakini sio mimi) tukubaliane tu huo ni ulimbukeni wa baadhi ya mademu wanaoendekeza njaa... na haya mambo hakuna asiyefahamu yanawacost sana!!! Bado nasisitizia hao mademu wachache... ACHENI HIZOOOOO!!!!
Jaman for sure izi mambo uwa zinatokea..mi mwenyewe nishatokewa ila nilikuwa bado mwanafunzi O-level shule flani ivi iringa, nakumbuka nilikuwa na washkaji zangu wawili tukapanda basi moja na wadenti wengine wa iringa girls..(wao walikuwa kama 6 hivi),huwezi amini tuliwateka wote na story zetu tukawa washkaji sana full story za kiuanafunzi ila bahati mbaya gari likaharibika mikumi ikabidi tubadilishiwe tukapandishwa kwenye costa lililokuwa linaishia moro (sisi tulikuwa tunaenda dar)..Nakumbuka moro tulifika saa kumi jioni kutokana na mob tulivokuwepo tukakubaliana wote tulale moro then kesho yake tuendelee na safari, daaah hapo ndipo majanga yalipotokea maana kila mtu alimchukua demu mmoja tena wao walikuwa wanagombaniana maana walikuwa wengi zaidi yetu...kiukweli washkaji zangu kila mmoja alit.o.m.b..a mademu wawili ila mi nililala na mmoja tu (sio kama najisfia ila alikuwa mzuri kuliko wote)..sitasahau iyo siku mana tulikamuana bila kutongozana wala nini..
mkuu nilishatokaga arusha naenda mahala nkakutana na mtoto mzuri kwenye basi, tumekaa siti moja zaidi ya kilometre 150 bila hata salamu, ila nikawa najiuliza uyu hata asiponisalimia mm ntampa hi tu...tukafika sehemu akajisemesha saa ngapi wakati na yeye ana simu, kijana fasta nikamtajia muda, dah kaanza kujisemesha hatufiki tu! stori zikaanza, anashuka tu kaacha namba ya simu,jioni naulizwa umefika salama, nikajibu salama, then nikaambiwa nageuza kesho ww lini! nikajibu mm next week, then nikaambiwa basi ntapita apo stend utakuwepo? mzee nilikuwa na ndinga uko nimeichaga kwa muda nikaiweka sawa next day niko stend, then hotelini kwetu....sikuamini kama siku iyo kalikuja kakiwa TAYARI TAYARI...baadae nauliza unafanya kazi gani...eti fomu4 daaah kumbe nanunua ugomvi na JK ivi viiii!!!fasta nkakimbiza stendi...tangu apo ni simu tu za salamu na vizinga vidogo vidogo...Dah umenikumbusha mbali mwanamwane!!! Ivi vitu usombe kukutana navyo!!!
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=9459034Naona mnapeana uzoefu wa ufirauni wenu