Recent content by DDNK

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Mimi nina mke ,, Je uko tayari kuwa mke wa pili? kama ndio wapi naweza kuonana nawe.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Dhahabu wa STAMICO Wafungwa

    Hili lilikuwa lazima litokee ,, Serikali haiwezi kufanya biashara ya Mining hata siku mojo ikapata faida,, Kwenye hii biashara uwajibikaji unahitajika sana na tunavyojua Serikalini uwajibikaji hamna ,ndio maana hili haliwezekani.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM sasa wanatembea kifua mbele

    Nahisi nimeanza siku vibaya kwa kusoma huu upuzi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Wasira amshukia Lissu kwa mambo manne

    Umeandika Kiswahili au Lugha ya kwenu?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Ngoja nisubiri comments kutoka Lumumba kwanza
  6. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unatufanya CCM tuonekane kama wafuata mkumbo

    Umenifanya nicheke sana,, Kama umemaanisha ulichoandika, Pole sasa ndugu yangu ,ni kweli Jamaa anawatesa sana
  7. D

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Haya Magari mbona yana Plate number za Zanzibar
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli: Nikisema Ukweli, Watanzania Wenye Uchungu Mtalia!!!

    Mbona Plate number ni ya Zanzibar? Mkuu asije akawa kadanganywa:(:(:(
  9. D

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli: Nikisema Ukweli, Watanzania Wenye Uchungu Mtalia!!!

    Zile gari alizozikuta kwenye Container mbona zina usajili (Plate number) za Zanzibar au wamemdanganya.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rais na Mwenyekiti wa CCM atuongoze awamu moja tu

    Umenifanya nimecheka sana, mpaka nimepaliwa chai, maana nilikuwa nakunywa chai huku nasoma hii kitu.:p:p:p
  11. D

    JamiiForums Tanzania Makonda vs ITV

    Umewahi kujibu , maana ndio jibu sahihi
  12. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Polepole, katibu wa itikadi na uenezi CCM?

    Kama Kuna ukweli vile !
  13. D

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Usimshirikishe Mungu kwenye upuuzi wako
Back
Top Bottom