mmmmmmmmmmmh kweli wazazi wengine bwana, unatoka unakwenda mziki anakubali, hurudi haulizi? Pole maana kwenye malezi piakuna tatizo. Japo huu siyo muda wa kulaumu malezi ila nashindwa hata nikushauri vipi naogopa ntakukwaza pole sana
Kila kitu kikizidi ni chachu. Wivu umekuzidi umechukua maamuzi ambayo siyo sahihi.
Mbona wakati unamwachisha kazi hukusema? Hana kazi ndo unasema. Pole yako
maana akiamua kufanya chochote hutaamini macho yako.
Kila kukicha afadhali ya jana. Matatizo kila leo source mfumo mbovu kama tungekuwa na mfumo mzuri haya yote yasingetukuta
Hivi kweli wangekuwa wanatibiwa ktk hospitali tunazotibiwa sisi mambo yangekuwa hivi. Hiyo katiba ingewabana watibiwe hapa na watoto wao wasome shule za serikali...
Hongera maana hapo unamtengenezea binti maisha bora sasa sijui kama yeye analielewa hilo. Ila kama ni binti mwelewa hatakuwa tayari kukimbilia. Mimi pia niliwahi chukua ndugu walivyoanza tu kumtafutia mchumba nikapata taarifa, nikamwambia binti naomba uchague kwenda kuolewa au kusoma nisipoteze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.