Naomba Mnipe ushauri kuhusu huyu mke wangu

mwanaume unapaswa kuchukua maamuzi magumu badala ya kujikanyaga pamoja na ushahidi lukuki ulinao dhidi yake... au unataka ushauriwe kile unachotaka kusikia? haya, msamehe na mruhusu aende UK kupoza majeraha teh teh teh...
 
ukweli humfanya mtu kuwa huru!mambo ya wawili ni wawili,ila tunafundishwa kusamehe bure
 
zunhumza na mkeo, aamue kuchagua moja, wewe au hawara. akichagua kubaki na wewe akupe kisa cha makovu

1. marufuku kwenda Uk
2. mbadilishie namba ya simu na marufuku simu usizozijua, za usiku wa manane especially za UK
3. mkapime ukimwi

 
Pole aisay lakini mimi huwa nashangaa kuona wanaume wengine kama nyie, hivi wanawake duniani wako wa ngapi mlio waona.

Kama ni weng,i vipi mnan'gang'ania mwanamke umeisha ona yuko kama huyo.

Aisay pole sana kwa kujilet down, yani imebaki aje kupigwa mikasi juu ya kitanda chako. na wewe unatazama.
 
Wewe ni mwanaume wa kipekee..unaeweza kuvumilia mambo yote hayo..tafakari then chukua hatua..
 
jamaa ananikumbusha wimbo wa mwanaume ***** yan kweli unajidai umelala mwenzio anaenda kuongea na sim sebuleni kwel tafuta wazee wakufunde na wakupe mafunzo ya ndoa
 
kijana amka kwenye usingizi wa porno ulio lala. nafikiri huyo mwanamke anakutawala sana kuna mengi ambayo hujayaongea.Let me tel you one thing, wanaume tumepewa mamlaka makubwa sana ya kuwa watawala wa familia. akiwemo na mwanamke. so ukimwacha mwanamke akajifanyia mambo atakavyo yeye mwenyewe, moto utakuwakia. huyo anatafuta hizo short course makusudi kwenda kwa huyo x-boyfriend wake ama amepata mwingine UK. ninachokushauri kama bosi wake ndo anampangia mwambie achague mawili.eithr ndoa ama hizo safari zake za kupumbavu. ikiwezekana na kazi mwambie aacheeeeeee!!, ningekuwa mimi hata kazi angeacha maana anashindwa kutumia uhuru mdogo uliompa.so inabidi arudi home akusaidie kulea watoto wenu mliozaa naye ama la sivyo kila mtu achukue 50 zake.mimi huwa mnyenyekevu na mpole sana kwa mwanamke ambaye ananiheshimu na kunijali kama mume wake inapofika anatoka kwende kugawa mali yangu kwa mwanaume wanje. I become the hell, kama anakusaliti ipo siku ataambiwa akuuwe ili aolewe na atafanya vile coz wanawake huwa wanafikuria leo na habari ya kwesho kwao huwa sio issue.AMKA KAKA UNAELEKEA SHIMONIIIII:A S 465::A S embarassed:
 
Mh Mbogoshi, kama uliweza acha yale yote yakakuonyesha ukweli mapaka wa picha na wa kwake kukiri, na mwsho wa siku ukamruhusu kurudi kule, ina maana moyo wako unaweza kubali yote tu, samehe tena na uwe makini kwakuwa ukubali ukatae, mara nyingine itafuata tu.... sasa kazi kwako, uruhusu ama ubane!
 
inawezekana hata hao wana sio wako
shtuka kaka kwa vile watoto wanakuita baba walee
we amua haraka cha kufanya kabla haijawa too late
 
Hivi kumbe dunia kuna wanaume wa hivi mpaka karne hii,km ni upendo kweli wako utakua wa agape kweli!cjui mambo ya ndoa kiivo subiri wenye uzoefu waje.

Wamo wengi tu mama. Wewe unadhani Bushoke alikuwa anaongopa kwenye ule wimbo wake?
 
Kifupi mkeo si mwaminifu, bado ana mahusiano na jamaa yake wa UK, huyo ni mkeo na mlifunga ndoa binafsi sijui unampenda kiasi gani ila ningekuwa wewe ndo mimi ningeshaepusha msongamano siku nyingi nadhani baada ya trip ya kwanza tu
 
jamaa ananikumbusha wimbo wa mwanaume ***** yan kweli unajidai umelala mwenzio anaenda kuongea na sim sebuleni kwel tafuta wazee wakufunde na wakupe mafunzo ya ndoa

Siyo hivyo tu anatunza na kumbukumbu ya tarehe za matukio ya kudanganywa/kuibiwa mali zake. Nadhani atakuwa na Diary kwa ajili ya kurekodi tarehe na saa za matukio ya kuibiwa mke wake.
 
we ni mwanaume kweli????yaani baada ya kukusaliti mara ya kwanza ukamruhusu kwa kisingizio kile kile mara ya pili?ndo maana wanakuibia.badilika ndugu,be a man and take charge.u are married to a *****
 
kwanza pole
kama kwa mara ya kwanza umeshaona akienda UK anaenda kufanya nini bado ukaamua kubaki naye,
mbaya zaid umemruhusu tena ameenda na amerudi hivyo,na utamruhusu tena,na tena...sijui mwisho wa siku kama atarudi,ataamua kubaki kwa huyo mtu wake huko.
huyo mkeo si mwaminifu,na dawa yake ni kuachana naye,sa long vithibitisho unavyo,usisubiri zaidi ya hivyo.la sivyo utakuja lia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom