obsesd
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 1,225
- 525
lol.... usijute mtambuzi, ww timiza wajibu wako tu na umpige vita haswaa atakusoma tuu.Mama Ngina alinidokeza kuwa kuna siku alimsikia akizungumza na huyo Mhyao wake kwa simu akiwa nyuma ya nyumba na inaonekana walikuwa wanapanga mikakati fulani..............kitu alichosikia ni kama vile anataka kufunguliwa biashara ya Saloon ya kike sijui ili kumuwezesha...............nasubiri hilo litokee, kama sijamuachisha shule na kumrudisha kijijini................yaani najuta kumleta mjini.......