Recent content by DCboy

  1. D

    JamiiForums Tanzania Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

    Utapeli wa kizamani sana huo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tunataka ifike wakati Serikali ipunguze kutumia kodi na mikopo kufanya miradi ambayo sekta binafsi inaweza kutekeleza kwa PPP

    Qw jamaa habari zako zote unazoleta ni za Kafulila sijui anakulipa sh ngap
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome

    Huo ni mshahara tu lakin kuna pesa nyingine ambazo jumla atapata zaidi ya hivyo,marupurupu mengi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe

    Ambacho najua ata akienda Marekani hawezi kukamatwa.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: New Tiger hotel Africana yauzwa kwa billionea mama wa kihaya, ni mmiliki wa shule Jirani, alipa Fedha taslimu bilioni moja

    Watu wengi mnaosema billion 1 ndogo kwenye account zenu bank hamna ata million 10
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kukopa benki ya CRDB kwa dhamana ya nyumba

    Yani nyumba ya million 120 harafu unaiwekea kukopa million 8 wewe hauna hakiri kabisa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

    Uwa najiuliza mbona wengine wakishindwa kulipa mkopo mali zao zinashikwa na kuuzwa na wengine wanabembelezwa .Tofauti ni nini
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vijana mnapopata nafasi za kiuongozi kaeni mbali na rushwa na Ufisadi, Kuna siku majina yenu yatajadiliwa kama ilivyo leo kwa Kafulila

    Ningekuwa mods ningepiga ban watu wote wanaoleta mada hizi maana naona kabisa wanalipwa kuleta huu uchawa uongozi hautafutwi kwa njia hii
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafanyakazi wawili wa kike, mshahara elfu 60 (elfu 2 kwa siku) kazi kuhudumia mgahawa

    Na kodi ya nyumba wanapotoka.unawalipia? Kuwa serious hiyo.ela wewe inakutosha ukilipwa?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaona nini kwa David Kafulila?

    Hizi huzi za kafulila zimezidi nahisi kama anajipromote
  11. D

    JamiiForums Tanzania Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

    Hennesy,Jack Daniel ukinywa hizo kamwe uwezi pata hangover
  12. D

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

    Mbona nasikia hapohapo mishahara ya wabunge haikatwi kodi je mbona wao hawalipi kodi?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umu mikeka mingi inachana sababu madali wa makampuni wamekuwa wengi kuliko.wachezaji
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

    Kachelewa sana
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

    Pole sana wahi ukapime uanze kula karanga
Back
Top Bottom