Recent content by Dc.com

  1. Dc.com

    Written interview ya Tax Management Officer II

    Hapa ndo uliuza match kiongoz
  2. Dc.com

    Changamoto za Ajira Portal

    Naomba msaada nahitaji kufanya edit ya profile kwenye ajira portal lkn nashindwa kufuta. Eg. O level imeandika mara 2 nahitaji kufuta moja sion option. Akhsante
  3. Dc.com

    Msaada wa tafsiri ya ndoto hii

    Angalia sana mipango uliyonayo au ushauri unaopewa sio wako rudi kwa Mungu akupe mpango wake juu yako. Musa na Yoshua waliambiwa vua viatu vyako.. viatu ni decision
  4. Dc.com

    Msaada: Nawezaje kupakua free Canon ir 1024 driver

    Nimedownload lakini kila nikifanya installation wanasema printer not recognized tatizo nn?
  5. Dc.com

    Msaada: Nawezaje kupakua free Canon ir 1024 driver

    Akhsante ngoja nifanye hivo
  6. Dc.com

    Msaada: Nawezaje kupakua free Canon ir 1024 driver

    Natumia window 10 .Nina copier canon ir 1024 .. Naomba msaada wa kupata driver ili iweze kuprint, nitashukuru. Pia kama unayo software nitashukuru ukinisaidia
  7. Dc.com

    Application for Internship Opportunity -Accounting and Finance

    CPA bila practice ni kazi nzuri ambayo haina maana... ndio maana naomba sehemu ya ptactice hata bila malipo...
  8. Dc.com

    Mapenzi yamebeba vifo

    YESU alikufa msalabani ili tupone mwamini Yeye anaweza kukuponya... Lakini hata ukifa leo ukiwa na Yesu utakwenda Mbinguni..
  9. Dc.com

    Application for Internship Opportunity -Accounting and Finance

    Akhsante! Naona hali tete.. Napenda field yangu huwez jiajiri bila experience .. Kama itakuwa ngumu nitasonga mbele na mambo mengine
Back
Top Bottom