Application for Internship Opportunity -Accounting and Finance

Dc.com

Member
Nov 28, 2015
88
51
Nimemaliza BAF,. Naomba nafasi ya kujitolea katika audit firm yoyote iliyopo Morogoro Mjini. Sihitaji Kulipwa chochote isipokuwa nafasi hiyo niliyoomba.
Nashukuru kwa msaada.
 
CPA bila practice ni kazi nzuri ambayo haina maana... ndio maana naomba sehemu ya ptactice hata bila malipo...
We Mbona Libishi Board wanatoaga Miaka 3 ya kutafuta Experience Mara baada ya Kufaulu CPA baada ya Miaka 3 ndo Unapewa Muhuri

Dc .com
Certified Public Accountant
 
Nashukuru kwa in4 mkuu
 
Amekuambia anataka kujiajiri kwenye Field ipi mpaka unamwambia ni lazima awe na CPA??
Kutokana na Maneno yake "" Naipenda Field yangu"" maana yake Bachelor ya Acc&Finance anatafuta Experience katika Auditing Firm. Ni wazi Dogo anataka Kujiajiri Katika Masuala ya Uhasibu, Kodi, Ukaguzi

Hivyo Hii Ni continuing education anatakiwa akapige Kitabu. Mda wa kutafuta Experience Upo
 
We Mbona Libishi Board wanatoaga Miaka 3 ya kutafuta Experience Mara baada ya Kufaulu CPA baada ya Miaka 3 ndo Unapewa Muhuri

Dc .com
Certified Public Accountant
Unaongea kitu usichokijua.....japo inaonekana umekaaa na mtu anayejua mambo ya cpa
 
Kutokana na Maneno yake "" Naipenda Field yangu"" maana yake Bachelor ya Acc&Finance anatafuta Experience katika Auditing Firm. Ni wazi Dogo anataka Kujiajiri Katika Masuala ya Uhasibu, Kodi, Ukaguzi

Hivyo Hii Ni continuing education anatakiwa akapige Kitabu. Mda wa kutafuta Experience Upo
Anaweza kua kamaanisha kwenye field yake anayoipenda akishindwa basi akajiajiri hata kwenye Kilimo, Ufugaji huko au maswala mengine
 
Unaongea kitu usichokijua.....japo inaonekana umekaaa na mtu anayejua mambo ya cpa
We Fala Sasa nimesoma BAF Nina CPA nina Postgraduate ya Tax Siyo Kilaza Mwenzio Namshauri Kitu Ninachokijua Mimi Mwenyewe Sijapata Muhuri natumia ya Wadau waliotangulia

Uhasibu ni Tofauti na Degree zenu za Historia na Kiswahili Huku Kuna Certification
 
Anaweza kua kamaanisha kwenye field yake anayoipenda akishindwa basi akajiajiri hata kwenye Kilimo, Ufugaji huko au maswala mengine
Hajasema Hivyo Fuatilia Post Zake Kwenye Hii Thread Usikurupuke Dada!
 
We Fala Sasa nimesoma BAF Nina CPA nina Postgraduate ya Tax Siyo Kilaza Mwenzio Namshauri Kitu Ninachokijua Mimi Mwenyewe Sijapata Muhuri natumia ya Wadau waliotangulia

Uhasibu ni Tofauti na Degree zenu za Historia na Kiswahili Huku Kuna Certification
Umesoma baf na cpa unayo.....hahahaaa hakika cpa wameanza kutoa bure cku hizi...wew maelezo yako tuuu yanaonyesha hujasoma hata degree ya kiswahil huna....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom