Recent content by Dazzle

  1. Dazzle

    Waraka wa Wazi kwa Mh Magufuli

    Kwanza nianze kwa kukupongeza kwa kuchaguliwa kuongoza chama cha mapinduzi kupeperusha bendera katika uchaguzi mkuu wa octoba. Sina shaka na utendaji wako wa kazi na wala sina shaka na uadilifu wako. Nalisema hili kutoka moyoni maana hata kama nikinyamaza kazi zako ulizofanya zitaongea...
  2. Dazzle

    TCU quality assurance: Huu ni wizi katika elimu ya juu

    Kuna taarifa kuwa kuanzia mwaka huu kila mwanafunzi wa chuo atatakiwa kulipa sh 20,000 TCU kwa ajili ya quality assurance fees na tayari wanafunzi toka baadhi ya vyuo nchi wameanza kubanwa na uongozi wa vyuo hivyo kulipa ada hii. Tena baadhi vimeenda mbali zaidi kutoa katika ada za wanafunzi...
  3. Dazzle

    Joshua Nassari awadanganya wanameru kwa ambulance mbovu

    Hizi ndio ambulance alizoahidi kamanda dogo Janja Nasari.naomba yule aliyesema ni mbovu atuambie ubovu wake.
  4. Dazzle

    Mgomo wa chuo kikuu RUCO Iringa

    University of Iringa nako kimenuka police wameshafika kudhitibi mgomo
  5. Dazzle

    Watu 15 mbaroni kwa njama za Kutaka kumtorosha Mchungaji Gwajima

    Hawa jamaa wasijaribu kututoa ktk lengo la kudai kura ya maoni usogezwe mbele kwa kutuletea hadithi za bulicheka mpaka mtuhumiwa atake kutorokavwalikuwa wapi hao waliokuwa wanamlinda
  6. Dazzle

    Uteuzi wa wabunge: Mkosamali aomba muongozo wa spika

    Sishangai hayo ndo madhara ya tezi dume
  7. Dazzle

    Kinacholigharimu taifa langu la Tanzania ni unafiki wa watanzania tulio wengi,tusimame kwenye ukweli

    Kuna wakati nafika mbali sana hadi najiuliza hii nchi mwenyewe ni nani?Mbona mambo yanaenda kombo kiasi hiki huku watawala wakiwa kimya. Hivi midomo yenu ni midogo zege? Mbona mnafumbia macho mambo ya wazi.Albino wanauwawa sijasikia kiongozi yeyote mkuu akichukua hatua madhubuti za kutatua...
  8. Dazzle

    Walimu Iringa University waiba mitihani

    Hawa wezi wamewagharimu wenzao kesho wanarudia mtihani. Nyambafu ningekuwa mimi msahihishaji mngenikomaa hasa wezi wa elimu.
  9. Dazzle

    Walimu Iringa University waiba mitihani

    Hapa nakubaliana na wewe wako wengi wakati wanamaliza form 4 hawakufanya vizuri wakarudia mtihani wakapita na form six wengine ikawa hivyo hivyo lkn leo wako chuo na wanafaulu vizuri bila kuiba mitihani. Wizi ni tabia ukiwa nayo utaiba tu na mwizi akikosa cha kuiba anaweza hata kujiibia...
  10. Dazzle

    Walimu Iringa University waiba mitihani

    Kama umezoea wizi basi utaendelea kuiba tu.Wiki mbili zilizopita wanafunzi wa chuo kikuu Iringa walianza kufanya UE au University Examinations. Cha ajabu wale tunaotegemea wakawafundishe wadogo zetu yaani waalimu baadhi yao ndio wameiba mitihani ya UE. Hawa sio wengine bali ni baadhi ya...
  11. Dazzle

    Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    Watasingizia Okwi aliumizwa
  12. Dazzle

    Mwenyekiti wa CCM Hoston-Texas atiwa hatiani kwa ubadhilifu wa Kodi

    Panya panya tu hata akiwa ulaya.
  13. Dazzle

    Nimetokwa na machozi kujiuzulu kwa Profesa Muhongo

    Dharau na kejeli mbaya sana.mi jana nilisubiri sana kuona nchi ikitetemeka kama alivyoahidi akitoka nchi itatetemeka kumbe wapi.mtaalam wa miamba alijifanya na yeye sehemu ya mwamba ila jana umemgeuka katulia tuliii hakuna mtetemeko wala mpasuko
  14. Dazzle

    CHADEMA wamuandalia Limbu ziara za Kigoma, Tabora, Rukwa na Katavi

    Hayo mawazo ya kuku tena mwenye kideri
Back
Top Bottom