Yanatusaidia nini haya uliyoyaandika! Kwani sisi tunapiga kura? kwa bahati mbaya sana wewe ndio unaendeleza chuki na kutuchafua wana KKKT wote. Wanaopiga kura wako Makumira wewe unaleta siri za ndani huku mitandaoni? Hata kama uliyoyaandika ni ya kweli, unadhani hii ni njia sahihi ya kufikisha...
Kawaulize wabunge kwa nini waliamua kutoa nusu ya seating allowance yao ya jana iende kumsaidia Lissu. Ni vyema nyakati kama hizi watu wakiwa katika maombi, sala na dua na kila support inayoweza kuokoa uhai wa mtu kama huna la kusema shut your dirty mouth. Tunaongelea uhai wa mtu hapa huo ujinga...
Habeeb anayemponda Nyalandu katika hili msamehe bure. Laiti mngelijua ushiriki wa Nyalandu katika hili. Lakini Kama sifa au kama mnavyoita kutafuta Kiki zinatafutwa kwa kufanya alichofanya Nyalandu basi ameipata na jamii inamkubali.
Kama mzazi nimesikitika sana. Leo kulikuwa na mahafali ya watoto wa chekechea na wale wa darasa la saba. Wazazi tulichangishwa sh 72,000 kwa kila mtoto kwa ajili ya mahafali. Cha ajabu leo ambayo ndio siku ya mahafali wamewalisha watoto wetu wali, nyama na kabechi bila hata kuwapa maji ya kunywa...
"It is better to lead from behind and to put others in the front, especially
when you celebrate victory ... You take the front line when there is danger.
The people will appreciate your leadership."
Dr. Nelson Rolihlahla Mandela
Mh Rais nianze kwa kukupa pongezi kwa kazi nzuri ya ujenzi wa Tanzania mpya isiyo na rushwa, uonevu, dhuluma wala ubaguzi. Mungu akubariki, akulinde na kukutinza. Ulinzi wa Malaika na jeshi la mbinguni uwe nguzo yako ulalapo na utembeapo.
Mh Rais najua mtu kama mimi siwezi kukuona ana kwa ana...
Ninaomba msaada juzi nilipigwa tochi maeneo ya gogoni kibamba nikiwa speed 59 na maelekezo niliyopewa na CPI 4149 ni kuwa lazima nikalipie bank au kwenye mitandao ya simu ila isiwe maximalipo. Wakati wa kulipa nikashangaa kidogo ukiingiza kumbukumbu namba 888999 inakupa;
4GA6PZZDOY Confirmed...
Dada yangu acha kujifanganya thamani ya mwanamke haipo katika kutolewa mahari kubwa. Love is beyond that. Unaweza pata wa kukulipia hadi milioni hamsini lakini ukawa umenunua Jehanamu duniani. Omna Mungu akupe Mume atakay kupenda, kukuheshimu na kukujali ukiwa mzima na katika hali ya ugonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.