Kumbe."It is better to lead from behind and to put others in the front, especially
when you celebrate victory ... You take the front line when there is danger.
The people will appreciate your leadership."
Dr. Nelson Rolihlahla Mandela
Huyu mtu alitumwa kweli na Mungu wa mbinguni, wengine wote ni matapeli tu.
Upo sahihi kabisa mpendwa.Kweli kabisa ukiangalia kwa uhakika instead of visasi alirudisha upendo na kuiweka Afrika kusini katika nafasi nzuri sana ya kuanza kuaminiana tena.
Tanzania tunahitaji kiongozi kama Mandela.Lakini huyu hakuwa Mwalimu alikuwa mwanasheria,ndiyo sababu nikifikiria nafasi kubwa kama hizi yapasa watu wenye taaluma ya sheria.Tumuangalie Pinda na weakness yake lakini alikuwa anamaamuzi yenye busara muda mwingi
Upo sahihi kabisa mpendwa.
Pamoja mkuuAsante Mkuu
Wapigwe tu hakuna namna nyingine.....PINDA.Kweli kabisa ukiangalia kwa uhakika instead of visasi alirudisha upendo na kuiweka Afrika kusini katika nafasi nzuri sana ya kuanza kuaminiana tena.
Tanzania tunahitaji kiongozi kama Mandela.Lakini huyu hakuwa Mwalimu alikuwa mwanasheria,ndiyo sababu nikifikiria nafasi kubwa kama hizi yapasa watu wenye taaluma ya sheria.Tumuangalie Pinda na weakness yake lakini alikuwa anamaamuzi yenye busara muda mwingi
Wapigwe tu hakuna namna nyingine.....PINDA.
Tombatomba idevice Model TH 45
Babati, nisaidie kutafsiri kwa kibantu na mie nilifurahie threadHuyu mtu alitumwa kweli na Mungu wa mbinguni, wengine wote ni matapeli tu.
Mkuu mbona hicho ni kibantu!Babati, nisaidie kutafsiri kwa kibantu na mie nilifurahie thread
Mie nimetoka "kapa" hahahahahMkuu mbona hicho ni kibantu!
Usijali mkuuMie nimetoka "kapa" hahahahah
Mimi nahisi viongozi wanazaliwa wakiwa viongozi maana kama ni uanasheria unahisi tukimpa chenge nchi anaweza kufanya japo 10% ya mandelaKweli kabisa ukiangalia kwa uhakika instead of visasi alirudisha upendo na kuiweka Afrika kusini katika nafasi nzuri sana ya kuanza kuaminiana tena.
Tanzania tunahitaji kiongozi kama Mandela.Lakini huyu hakuwa Mwalimu alikuwa mwanasheria,ndiyo sababu nikifikiria nafasi kubwa kama hizi yapasa watu wenye taaluma ya sheria.Tumuangalie Pinda na weakness yake lakini alikuwa anamaamuzi yenye busara muda mwingi
Mimi nahisi viongozi wanazaliwa wakiwa viongozi maana kama ni uanasheria unahisi tukimpa chenge nchi anaweza kufanya japo 10% ya mandela
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anapomtuma mtu wake kwa wanadamu kuna viashiria na matendo flani utayaona kwa huyo nabii/mtume, sijui kama unavijua?Huyu mtu alitumwa kweli na Mungu wa mbinguni, wengine wote ni matapeli tu.
SanaMungu anapomtuma mtu wake kwa wanadamu kuna viashiria na matendo flani utayaona kwa huyo nabii/mtume, sijui kama unavijua?
Kwa kibantu ni kwamba usiwe kama Mbowe siku ya maandamano unajificha, kwenye chai ikulu unakuwa mbele.Babati, nisaidie kutafsiri kwa kibantu na mie nilifurahie thread