Recent content by dazu

  1. dazu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Freeman Mbowe hasafiri na Mke wake kwenye ziara za kitaifa na Kimataifa?

    Naona jukwaa limeingiliwa. Kweli great Thinker anaweza kujadili kuhusu mke wa mtu????? Kwani Wassira amekuwa akiambatana na mkewe ziarani? Au Mwigulu? Au Mbatia?....Why Mbowe? Leteni issues tujadili sio watu.
  2. dazu

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wengi wameugua ghafla msaada tafadhali.

    Inaitwa KEPROCERYL (Hydrosoluble mix of antibiotics and vitamins). Angalia expire date, kuna mtindo wa kuuza dawa zilizoisha muda wake wa matumizi.
  3. dazu

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wengi wameugua ghafla msaada tafadhali.

    nitakupa jina la dawa. Kuku wanatakiwa kuuzwa kwa ajili ya kuliwa siku 7 baada ya kutumia dawa. Cheki na wataalam upate uhakika zaidi.
  4. dazu

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wengi wameugua ghafla msaada tafadhali.

    Antibiotics inatibu zaidi ya ugonjwa mmoja, ikiwemo mafua. Bahati mbaya siko nyumbani ningekusomea jina la dawa niliyotumia, ilinisaidia sana ila ina jina gumu kidogo. Nina wasiwasi na kuwauza kuku waliotoka kutumia dawa. Vp kuhusu usalama wa walaji?
  5. dazu

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wengi wameugua ghafla msaada tafadhali.

    Itakuwa ni mafua. nenda duka la dawa za mifugo nunua antibiotics yoyote ya kuku, utapewa maelekezo zaidi ya jinsi ya kuwapatia, watapona tu. nami niliwahi kupata tatizo kama lako, limeisha. Pole sana.
  6. dazu

    JamiiForums Tanzania My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Mi naona ndo umezidi kumpaka m..a...v..i Prof. Maana umezidi kuthibitisha kwamba tusimuamini hata kumpa udiwani, teh teh teh!
  7. dazu

    JamiiForums Tanzania Sixtus Mapunda apendekezwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa UVCCM

    Wapi jamaa yangu Shigella, au ndo 'watampangia kazi nyingine'?
  8. dazu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni UVCCM Taifa Mbona Kimya Sana?

    .....Wapi Masauni, Beno Malisa!!!
  9. dazu

    JamiiForums Tanzania Petition: Wito wa kusitisha tozo/kodi ya laini ya simu kila mwezi kufuatia mabadiliko ya sheria

    I know, zitatumika kwa posho mbalimbali, mafuta ya magari ya kuwasha kudhibiti maandamano ya cdm na safari za nje za mkuu wa magogoni. Mbona wanazidi kutoa misamaha ya kodi kwa wawekezaji wa migodi na gesi (eti kuvutia wawekezaji), kwani hizo bilioni hawazitaki?????
  10. dazu

    JamiiForums Tanzania Majina saba ya askari walio uwawa Sudan

    Hivi ni lazima kila mahali (Darfur, Lebanon, nk) tupeleke sisi watz majeshi ya kulinda amani? isije kuwa ni kiherehere chetu kuonesha aliye magogoni ni mjeshi. Maana sisikii nchi jirani wakipeleka majeshi hayo. Kuuliza si ujinga jamani....
  11. dazu

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Mifugo na Ufugaji.

    Wadau, niko Dar na nina shamba la heka 2, nataka kuanza project ya ufugaji Kitimoto. ni wapi nitapata mtaalamu wa mifugo anielekeze jinsi ya kuanza na kuwatunza vizuri?
  12. dazu

    JamiiForums Tanzania Mabaya na mazuri ya toyota RAV4 old model

    Kama huna hela ya mafuta gari ya nini? ....Kama huna hela ya vocha simu ya nini?
  13. dazu

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya pikipiki

    Jumla uwe na 2.1 m
  14. dazu

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya amuunga mkono kamanda G Lema

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha Ndugu John Mongela amebatilisha agizo la Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema la kuifunga shule ya msingi Korona na kuagiza wanafunzi kuhakikisha wanahudhuria masomo jumatatu kama kawaida. DC amedai kwamba mbunge hana mamlaka kuifunga shule, na agizo lake ni kinyume...
  15. dazu

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa ajibu tuhuma dhidi yake

    weka ushahidi kwanza kama alikopa 140m.
Back
Top Bottom