Wakuu shule hiyo ipo kama kilometa mbili kutoka Njiro Kwa Msola, haipo kwa Msola, kadhalika ofisa elimu anaitwa Mlowasa. Siyo kama hapo penye red.
Wazo langu. Ni muhimu sasa halmashauri ya jiji ije na mpango wa kuzipatia mabasi shule za pembezoni maana wanafunzi wanateseka sana. Ama basi watoto hawa wapangiwe shule zilizopo kwenye kata zao.

Mkuu pamoja na "nia njema" ya Serikali kuanzisha shule za kata lakini menejimenti imekaa hovyo kuliko maelezo. In fact badala ya kuboroshesha elimu yetu, in the long-run sijui hali itakuwaje.
Hilo la watoto kuteseka kutokana na umbali na huduma mbovu sio Arusha tu Mkuu; ni tatizo la nchi nzima. Kuna jamaa yangu anaishi Dar es Salaam maeneo ya Kibamba eti mwanae kapangiwa form one day Chanzige Sec. School iko Kisarawe; hadi kichekesho. Kwa mnaoishi Dar nadhani mnafahamu umbali uliopo kati ya maeneo hayo mawili (Kibamba, Mbezi, Kimara, Ubungo, Buguruni, Gongo la Mboto, Pugu, Minaki, Kisarawe) na adha ya usafiri iliyopo Dar.
Total Confusion!! Hebu soma gazeti la habari leo! Sijui kati ya haya magazeti mawili ni lipi limeandika ukweli.
http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/8589-dc-atengua-amri-ya-mbunge-lema
Kama kweli mkuu wa wilaya katengua maamuzi ya Lema, basi ni dhahiri Lema alikurupuka. Hakufuata taratibu, au hakujua taratibu zilivyo. Jana niliweka post hii hapa kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wanafunzi-kuendelea-kusoma-korona-sec-7.html:
Lema anatakiwa kujifunza mifumo ya kiutawala ili asifanye maamuzi ambayo mwisho wa siku yatamdharirisha.
Mkuu pamoja na "nia njema" ya Serikali kuanzisha shule za kata lakini menejimenti imekaa hovyo kuliko maelezo. In fact badala ya kuboroshesha elimu yetu, in the long-run sijui hali itakuwaje.
Hilo la watoto kuteseka kutokana na umbali na huduma mbovu sio Arusha tu Mkuu; ni tatizo la nchi nzima. Kuna jamaa yangu anaishi Dar es Salaam maeneo ya Kibamba eti mwanae kapangiwa form one day Chanzige Sec. School iko Kisarawe; hadi kichekesho. Kwa mnaoishi Dar nadhani mnafahamu umbali uliopo kati ya maeneo hayo mawili (Kibamba, Mbezi, Kimara, Ubungo, Buguruni, Gongo la Mboto, Pugu, Minaki, Kisarawe) na adha ya usafiri iliyopo Dar.
habari leoKwahiyo wewe umeliamini gazeti lipi?
Habari leo au Tanzania daima?
Alikurupuka Lema kufunga shule ambayo baadaye mkuu wa Wilaya kaifungua.Mkuu Lukolo, ni vyema ukasoma ukaelewa kilicho andikwa, Post imeeleza wazi mkuu wa wilaya aungana na Lema katika sakata la kuifungia shule. Kati ya Kamanda Lema na wewe ni nani aliyekurupuka? au ndo unaamka?
Mbona tuliambiwa wanafunzi wanatembea kilometer 13?
Hali ni mbaya na hamna anayejali, kama wanaweza kujinunulia mashangingi yenye thamani ya zaidi ya mil. 200 kwa moja wanashindwaje kununua mabasi ya watoto kwa angalau mil. 50 kwa moja. Yakiwepo manne kila mji wenye tatizo hili wanafunzi wataepushwa na mengi.
Mkuu pamoja na "nia njema" ya Serikali kuanzisha shule za kata lakini menejimenti imekaa hovyo kuliko maelezo. In fact badala ya kuboroshesha elimu yetu, in the long-run sijui hali itakuwaje.
Hilo la watoto kuteseka kutokana na umbali na huduma mbovu sio Arusha tu Mkuu; ni tatizo la nchi nzima. Kuna jamaa yangu anaishi Dar es Salaam maeneo ya Kibamba eti mwanae kapangiwa form one day Chanzige Sec. School iko Kisarawe; hadi kichekesho. Kwa mnaoishi Dar nadhani mnafahamu umbali uliopo kati ya maeneo hayo mawili (Kibamba, Mbezi, Kimara, Ubungo, Buguruni, Gongo la Mboto, Pugu, Minaki, Kisarawe) na adha ya usafiri iliyopo Dar.
Na kina NEPI NAUNYE.
Alikurupuka Lema kufunga shule ambayo baadaye mkuu wa Wilaya kaifungua.
well, lakini ni nani anayepaswa kuboresha hayo mazingira ya shule? Mbunge kazi yake ni nini? Yeye si anahudhuria vikao vya madiwani? Kwanini hakuchukua hatua kutokea huko, badala yake anakwenda kufanya vitendo vinavyomdhalilisha? Kitendo cha kufunga shule halafu siku inayofuata mkuu wa wilaya anaifungua ni cha aibu kwa aliyefunga.Meshimiwa Lema hata watu kama wewe watasema amekurupuka amesaidia kumtoa mkuu wa Wilaya Shuleni kwenda kujionea hali ya shule ilivyo. Na hii hali yaa shule hiyo is just a symbol of what is happening to much schools under the parlance shule za kata. Hali ya shule hizi inatisha na hasa zilizoko vijijini. Nyingi hazina walimu achilia mbali vutabu vya ziada na kiada. Hazina maabara na vyoo. Wanafunzi wanatembea mwendo wa kilometa nyingi ili wafike shuleni. Pita njia ya Mbezi Mwisho kwa mfano kutokea Kinyerezi. Saa nne unakutana watoto wanatemebea kwenda shule maana hamna usafiri wa umma. Kitendo cha Lema hata kama madaraka hana ya kufunga shule kilikuwa na nia nzuri ili wanafunzi wachache waliopo shuleni hapo wapate elimu shule za jirani wakati shuluhu ya kudumu inatafutwa. Ni kitendo cha usasiri, uzalendo na kupongezwa na kiwa ni alarm kwa wahusika wa elimu watoke maofisini waende field wakarekebishe wasisubiri wenye uchungu kama Lema kupita. Tunamshukuru na mkuu wa Wilaya kwenda kujione ahali japo alichelwa maana yupo kwa sababu hiyo na anatumia kodi zetu
Mkuu nimependa hapo kwenye note,kwenye maandishi ya blue.MKUU wa Wilaya ya Arusha, John Mongela, ametangaza kuifungua Shule ya Sekondari Korona iliyopo Njiro kwa Msolwa ambayo juzi ilifungwa na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kutokana na kukabiliwa na matatizo mengi likiwamo tatizo la usafiri na ukosefu wa miundombinu.
Pamoja na uamuazi huo, mkuu huyo wa wilaya jana alitangaza kumvua madaraka mkuu wa shule hiyo, John Mbise, ambaye hakuwapo shuleni hapo licha ya kupewa taarifa za ugeni huo.
Aidha, amemuagiza Ofisa Elimu Sekondari wa Jiji, Violet Kiwowoza, hadi jana majira ya saa sita awe amewasilisha barua ya kutenguliwa cheo kwa mkuu huyo wa shule ofisini kwake na awe amebandika matokeo ya kidato cha pili shuleni hapo.
Pia amemuagiza mkurugenzi kuwasilisha mchanganuo wa shule hiyo kuwa ya bweni. Alisema ameifungua shule hiyo kwa kuwa Lema hakufuata taratibu za kuifunga, lakini alikiri kuwa shule hiyo ina matatizo mengi ambayo alisema kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na uzembe wa watendaji na viongozi wa Idara ya Elimu.
Tusiigeuze hoja hii kama ni matatizo ya mbunge na kuleta siasa, lakini ni wajibu kuwajibishana watendaji kutokana na uzembe, hata maji yamekatwa eti kwa kushindwa kulipa bili ya sh 300,000. Hii ni aibu kwa jiji, wakaguzi wa elimu siku zote walikuwa wapi hadi haya yote yanatokea? alihoji Mongela.
Mongela aliwatahadharisha watendaji wa serikali kuwa wasishangae siku za usoni kumuona akiungana na Mbunge Lema katika kushinikiza baadhi ya mambo kufanyika kwa ufanisi kama inavyohitajika.
Mimi nadhani japo wengine wanachukia Lema kushinda kesi yake, lakini nadhani Mungu ndiye alipanga hivyo, ili aje kufichua mambo haya, kwani sisi japo tungeyabaini lakini ingechukua muda mwingi, alisema Mongela.
Akizungumza na Tanzania Daima ofisini kwake baada ya uamuzi wa mkuu wa wilaya, Mbunge Lema alisema yeye kama mbunge alikuwa anatambua kuwa sheria hazimruhusu kufanya hivyo, lakini kama mtetezi wa wananchi wa Arusha alilazimika kuchukua uamuzi huo ili kuwasaidia wanafunzi ambao kwa wiki tatu sasa hawapati masomo na wana shida ya usafiri na matatizo ya maji.
Source: Tanzania Daima
note :Ukiishi nyumba moja na makamanda na wewe ni kamanda
cc : Kiranja Mkuu