Recent content by daymadaba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maprofesa wamepungua katika Baraza la Mawaziri

    Rushwa tupu, rushwa tupu! mchango wa maprofesa kwa hii nchi ni mdogo sana, angalieni performance zao wote, naamini wakibaki vyuoni watasaidia kuliko kuja majukwaani, hali ndiyo hii. Issue ya kujulikana kimataifa is non of our business, issue hapa ni performance. Profesa gani asiyejua sheria ya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Watanzania (Competence)

    Jamani wadau naomba kufahamishwa mambo machache hasa dhidi ya wasomi wetu, nimepata tetesi kuwa Pr. Anna Tibaijuka na Dr wetu aliyekuwa UN kwamba waliondolewa kwa sababu ya uwezo mdogo wa kushughulikia maswala makubwa ya umoja wa mataifa na kwamba Dr wetu ameweka historia kwa kuhudumu only only...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wasomi acheni tabia ya kutunyanyasa sisi ambao hutujaenda shule na kupata vyeti

    Mkuu sasa utachangia nini katika mada za kama hujui kusoma au utategemea kusikia tu
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

    Kabla ya kuwa naye uliweza kuishi mwenyewe, thus usipende kwa asilimia mia cos ni rafiki na chochote chaweza tokea mkiwa njiani, kama marafiki mlivyoachana naye siku moja ataondoko. Akiondoka pata nafasi ya kubadili, kama alikuwa mrefu jaribu na mfupi, mwembamba jaribu na mnene, maisha lazima...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    Jamani ingekuwa kwenye hiyo shule wanasoma bure tungeshawishika, ada kama university kweli nyoka hazai chura
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke Wangu Ni Mchawi Hatari,Nisaidieni Ndugu Zangu.

    Kwa kuwa hii ni sehemu muafaka ya kupeana ushauri, mimi nadhani ni busara ukaenda kanisani kama unaamini uwepo wa mungu wao watakuombea na watamuombea mkeo pia, na atarudi katika hali ya kawaida kabisa, cha msingi imani, ukikimbilia kwa mganga ni kwamba mtashindana kwa nguvu za giza na mwisho na...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wafumaniana, wabadilishana wake zao

    Sasa hapo jamani watabadilishana na watoto? teh teh teh, balaa hilo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Sheria za kazi

    Aende commission for mediation and arbitration mapema ili awashtaki
  9. D

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

    Simkubali Chenge kwa matendo yake na jeuri, ana taaluma nzuri na yuko smart "intelligent" lakini kama tukitukia taaluma zetu vibaya tutaliangamiza taifa, watoto na wajukuu zetu tutawaambia nini? Kumbukeni ishu zote chafu za pesa huyu braza lazima awepo nyuma, why, why, why
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kufanya transfer ya landed property

    Lazima uende mpendwa, kama kila kitu kimekamilika waweza kumtuma mtu akamalizia cha msingi uhakikishe land form No. 29 Na 30 na supporting documents ziko poa
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji msaada wa sheria

    Tunatambua mahitaji ta wadau mbalimbali katika kudai haki mbalimbali, najua siyo yote yanaweza kuelezeka hapa kwa jamii forum, kuna mambo ambayo ni so personal mtu hawezi kujieleza humu, mwenye swala lolote anaweza kunitumia email kwa email ya rsongea@yahoo.com ili kusaidiana kwa mambo haya, na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuuza kiwanja ambacho kiko kwenye process za transfer?

    Yes unaweza kuuza si mali yako bwana, cha msingi tu hati itakapotoka kwa jina lako unayemuuzia atawajibika kufanya transfer ili hati iwe kwa jina lake
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria

    Naweza kukushauri cos nami no wakili japo niko nje ya dsm check with me through rsongea@yahoo.com
  14. D

    JamiiForums Tanzania CV ya Prof. Sospeter Muhongo na ushawishi wake kwa wanasayansi, wahandisi na wanasiasa vijana

    Mtazamo wangu ni kwamba kwa wakati tulionao sasa, sehemu pekee ambapo pana pesa ambapo mtu hatumii nguvu kuzipata ni kwenye siasa, kwa msingi huo kila mtu anapenda kuelekea huko, matokeo yake wanataaluma wwengi wakipata nafasi wanajichanganya huko. Nafahamu kila mtu ana haki ya kuchagua au...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Dodoma kwawaka Moto: Sendeka ageuka Mbogo

    Ukipata matokeo ya bwana Sendeka hautashangaa matamshi yake, elimu na uwajibikaji vinakwenda sambamba, anapingana na dhana ya uwajibikaji kama ambavyo ccm wanahubiri katika mikutano yao. Hapo ndio anapokosea wakubali kuongoza kwa mifano, kujiuzulu ndio msingi wa utumishi bora kwa kuwa mambo...
Back
Top Bottom