Maprofesa wamepungua katika Baraza la Mawaziri

Maprofesa wamepungua katika Baraza la Mawaziri

tatizo mfumo wetu ndo unaowafanya lazima waaibike mwisho wa siku
 
Maprofesa wa Tanzania mliojikita na mnaojikita kwenye siasa mko wapi?

Njooni huku mnajadiliwa.

Wengi wa wachangiaji wanawaponda wanasema nyie ni wa hovyo.

c.c Prof Kitila Mkumbo
 
Cheerful!!!! Prof Tibaijuka your the only performer in Tz land, nasema hivyo kwa sababu mama hyu amefanya mengi sana kwenye wizara yake ambapo ameweza kutatua migogoro ya ardhi katika sehemu mbalimbali za Tanzania. Tukirudi kwenye kashfa ya ESCROW mama hyu alitolewa kafala ili kipolo cha muhongo kiongeze siku.
 
Rushwa tupu, rushwa tupu! mchango wa maprofesa kwa hii nchi ni mdogo sana, angalieni performance zao wote, naamini wakibaki vyuoni watasaidia kuliko kuja majukwaani, hali ndiyo hii. Issue ya kujulikana kimataifa is non of our business, issue hapa ni performance. Profesa gani asiyejua sheria ya maadili ya umma? ni hatari bora hata ya hawa akina Mr.
 
You have made a shallow analysis! Muhongo and Tibaijuka are renowned Professors internationally and this is evident from the time they spent with International organizations! Tibaijuka made a very good reputation with UN Habitat (She is also a former under-secretary-general of the United Nations and executive director of theUnited Nations Human Settlements Programme (UN-HABITAT). Until her resignation in 2010 to run for political office in Tanzania, she was the second highest ranking African woman in the UN system.)Like wise Muhongo. They were working with principled entities. Back to TZ, they have to dance to the corruption tune! If the head of the house is corrupt, what do you expect of rest of the family!

Mdau hiyo haiwezi kuwa justifiable hapa. Ma professor wengi wameshindwa kudeliver katika serikali hii ya awamu ya nne. Kutaja wachache: Prof-Msola, Mwakyusa,Tibaijuka, Muhongo na wengine.

Ni ukweli kimataifa CV zao ziko vema, lakini hapa nyumbani mifumo iliyopo wameshindwa kwenda nayo. Iko waz mifumo yetu ina kasoro, lakini ilitarajiwa kwa ku- profess, wangeweza kuja na mwaraboini.Lakini pili hawa wanataalum wana tabia ya ubishi na kujiona eti kwa kuwa ni Prof basi anajua kila kitu. Na hilo ni kosa kubwa. Kujua kila kitu labda wakati wa kusahisha mitihani na kukosoa Thesis, ila huku kwenye real life lazima kuwa na degree of flexibility iwe kubwa, vinginevyo ni sheedaaaah!

Ifike mahali hawa wasomi waache siasa waendelee kutendea haki taaluma zao, kwani kama Rostam alivyodai, siasa nyingi ni Waste Water.
 
Maprof wa Tz ni wa kuwatisha madenti class. Nje ya class wepesi mno! Ukitaka mzigo anakupumulia tu kama kawa. Kwenye public service ni mizigo kuliko gunia la mkaa.
 
Nilishasema...... "wasomi" ndo wanaoiangusha nchi hii!!!!
 
Rushwa tupu, rushwa tupu! mchango wa maprofesa kwa hii nchi ni mdogo sana, angalieni performance zao wote, naamini wakibaki vyuoni watasaidia kuliko kuja majukwaani, hali ndiyo hii. Issue ya kujulikana kimataifa is non of our business, issue hapa ni performance. Profesa gani asiyejua sheria ya maadili ya umma? ni hatari bora hata ya hawa akina Mr.

hebu tutizame hoja hii kwa mapana zaidi. prof.morsi prof.gagbo na prof.yusuf lule ni kipi kiliwashinda kuongoza nchi zao? idd amin alivyotwaa madaraka alichukua wahadhiri wa makerere kuondoa waziri wa ulinzi tu wengine wote walikuwa wahadhiri tena kila mmoja kwa taaluma yake. nini kilimpata idd amini hapo badae?

tuje hapa kwetu anzia kwa prof.mbilinyi hadi kwa prof.muhongo tatizoni nini?
 
Baada ya Maprofesa wawili Tibaijuka na Muhongo kuondoka katika baraza la mawaziri sasa imedhihirika wazi kwamba Ma profesa nao wapo ambao ni MBUTIKA ....... kumbe kuna maprof ambao hawana msaada na Uprofesa wao ma pia imedhihirika kwamba Uprofesa na udakitari pekee sio dawa wala ishu ya kupewa vyeo ......... Mhe. Rais ameliona hili na kuachana na hao Madaktari na Mapfoessa

Mkuu nadhani JK alitunukiwa uprofesa hivi karibuni, kwa hiyo wamepungua wawili ameongezeka mmoja.
 
Mdau hiyo haiwezi kuwa justifiable hapa. Ma professor wengi wameshindwa kudeliver katika serikali hii ya awamu ya nne. Kutaja wachache: Prof-Msola, Mwakyusa,Tibaijuka, Muhongo na wengine.

Ni ukweli kimataifa CV zao ziko vema, lakini hapa nyumbani mifumo iliyopo wameshindwa kwenda nayo. Iko waz mifumo yetu ina kasoro, lakini ilitarajiwa kwa ku- profess, wangeweza kuja na mwaraboini.Lakini pili hawa wanataalum wana tabia ya ubishi na kujiona eti kwa kuwa ni Prof basi anajua kila kitu. Na hilo ni kosa kubwa. Kujua kila kitu labda wakati wa kusahisha mitihani na kukosoa Thesis, ila huku kwenye real life lazima kuwa na degree of flexibility iwe kubwa, vinginevyo ni sheedaaaah!

Ifike mahali hawa wasomi waache siasa waendelee kutendea haki taaluma zao, kwani kama Rostam alivyodai, siasa nyingi ni Waste Water.

Hawa wana adapt to the type of mfumo. This is a corrupt nation, ukiende kinyume unatupwa nje! nani yuko tayari kutupwa nje. A simple very recent example: Mwakyembe yuko wapi he was doing wonderfully! Ametolewa kila mmoja walio na mapenzi mema na taifa hili wamefadhaika sana. hakuendana na mifumo ya hapa rushwa! Kwa nini nje hawa maprofessor wamefanya vizuri sana? Walikuwa kwenye system zilizo wazi. hata Mwakyembe angelicheza kama mfumo unavyotaka asingelitolewa. Amecheza kinyume na mfumo wa rushwa, nje!
 
Kama nakuelewa vizuri, Mkuu, ni kama unakiri kuwa they are also corrupt. Then who wants a corrupt person at whatever hierarchy he might be? Kwa mantiki ya mchango wako huu na wangu hatupingani. Kama walikuwa na dhamira hiyo niliyotilia rangi nyekundu ni wazi wasingeweza kuupinga mfumo wanaodhani ungewanufaisha. Sasa Tumbili katibua kaleta timbwili.

Everybody is potentially a thief, katika system corrupt kama hii, wamekunjua makucha yao. If you do not dance to the tune, you will perish. Mwakyembe did not dance to the corruption tune and now he is OUT, very sad!
 
Filosofia zao ni za kufundisha/kutoa miongozo ya ufundishaji/kufanya tafiti na sio siasa, tamaa ndo inawafanya wakimbilie siasa
 
It is not necessary that everybody has to be corrupt for a simple reason that the father of the house is corrupt. I have an experience where the father of the house is drunkard ( chapombe) and his children are not. The father becomes blamed for his bad behaviour sometimes abandoned by his own family. JK being corrupt doesn't necessitate every citizen to be corrupt. Don't take advantage of every lop hole

Comparison yako is distinguishable from our case! Huwezi kulinganisha case ya father to be a drunkard and a father of the nation being corrupt. Corruption at a nation level means wealth accumulation! If the father of the nation does not contain his aides, all will fight to accumulate wealth as the father is doing and this is what is happening
 
Mbarawa wa TTCL?

Kama lilishindwa kufanya makubwa kipindi kile akina voda/buzz/celtel wakiwa ndo kwanza wanaanza hawana hata mnara mmoja lenyewe lina minara nchi nzima, utamlaumu huyu aliyepewa dhima haya makampuni yameshafika kila eneo na lenyewe linakaribia kufa?
 
Kwa parameters gani? TTCL imefilisika, ndiyo kigezo?

yaani siku hizi taasisi inaweza kuwa na CEO mburula, hata aki underperform atendele kupeta sababu anawajibika waziri not even katibu mkuu wa wizara, strange!!
 
Well said!

Back
Top Bottom