Recent content by day 24

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Naihitaji incubator ya mayai kuanzia mayai mia (100) iwe home made au imported, bei iwe ya mwananchi wa kawaida sio ya waheshimiwa.mwenye nayo aweke contact zake niweze kuwasiliana nae kwa maelekezo zaidi.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo, soko na faida za Uyoga

    sory bandugu, hv uvunaji wa uyoga uchukua siku ngapi, i mean kuanzia siku ya kwanza kuvuna mpaka kuacha kabisa kuota kwa uyoga.ni continuos au uvunaji wake ni mara moja na pia naomba kiwango cha uvunaji,kwa mifuko mia unaweza ukapata kilo ngapi au mazao kiasi gani?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo, soko na faida za Uyoga

    sory bandugu, hv uvunaji wa uyoga uchukua siku ngapi, i mean kuanzi siku ya kwanza kuvuna mpaka kuacha kabisa kuota kwa uyoga.ni continuos au uvunaji wake ni mara moja na pia naomba kiwango cha uvunaji,kwa mifuko mia unaweza ukapata kilo ngapi au mazao kiasi gani?
  4. D

    JamiiForums Tanzania kipimio cha VVU/HIV

    habari zenu wanandugu, hivi katika kupima,baada ya kufanya tendo la ndoa inachukua muda gani mpaka kipimo kigundue kuwa damu yako imeathirika(HIV positive).
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Habari zenu wanajamii, Kama kuna mtu anafahamu juu ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa naomba tushee utaalam ili nijue faida ya biashara hiyona hasara ya na vitu vinavyotakiwa kuanzia wanapopatikana hao ng'ombe na bei wanazouzia,soko la maziwa na tahadhari zake...naomba msaada wenu tafadhari
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo, soko na faida za Uyoga

    @Enterprenuer=hiyo imekaa vizuri kama kuna m2 practical anaendesha kilimo cha uyoga ani PM ili kufanya mpango wa ku meet niwezeshe kuona jinsi yeye anavyofanya ili iwe rahisi kwangu katika utekelezaji,sabab kuona ni sawa na kusoma mara mbili zaidi.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    naomba mni PM bei za hizo incubator,kwa sabab siwezi kujichinja mwenyewe kwenye bei,ni vizuri nikafaham bei ili niweze kujipanga,
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Habari zenu wanajamvini, Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga. Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana, nitashukuru kwa msaada wenu. --------------------
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa mfugaji nifanyeje?

    hilo shamba lipo sehem gani?
  10. D

    JamiiForums Tanzania bei ya kiwanja

    Za saa hizi waungwana,nataka kuanzisha mradi wa kuku,nimeshauriwa kibaha panafaa,je kiwanja heka moja ntapata kwa bei gani?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    naomba kufaham jinsi ya kufuga nyuki,jinsi ya kupata kibali na maeneo yanayofaa kufugia
Back
Top Bottom