Recent content by dawa yenu

 1. dawa yenu

  Nifanye nini mke wangu arudi?

  Lakini hapo sikusema kwa ubaya, by the way hata Mimi nilikuwa nataka kujua elimu yake ni kidato cha ngapi! Mambo yake Kama mwanafunzi wa form two B
 2. dawa yenu

  Nifanye nini mke wangu arudi?

  Aisee... Hutaki kujua elimu yake Bali kidato alichoishia! Highest level of sarcasm
 3. dawa yenu

  Hivi hawa watangazaji wa vyombo vya habari mnawaelewa? Wamekaa kimasiharasihara tu

  Inasikitisha so! Sasa Majizo anamuweka Stive Nyerere studio sijui anataka nini
 4. dawa yenu

  Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

  Hukuja duniani kuteseka, usikubali kuteseka hasa mateso yanayoepukika ya kumpenda mtu halafu humwambii! Bora ufe mara moja uzikwe usahaulike kuliko kufa kidogo kidogo kila siku! Mchane tu akikukubali fresh akikutaa barida tu if you die you die!
 5. dawa yenu

  Uganda: Rais Museveni amshukuru Rais Samia kwa kumruhusu kuuza sukari Tanzania

  Kwa miaka mingapi hivyo viwanda vya tz vimepewa nafasi ila vimeshindwa kukidhi mahitaji ya soko? Yaani viwanda viendelee kuwafanya watu wakose sukari kisa bei ipo juu kutokana na demand kuwa kubwa kuliko supply? Acha sukari ije bei ishuke, simple!
 6. dawa yenu

  Kama hauna hela kwanini unaahidi au kujikusuru kwenye shughuli

  Nimekuwa mkazi wa kudumu katika hii dunia almost miaka thelathini, nina experience ya kutosha! Nimesoma Mbeya, nikaenda Iringa halafu nikamalizia dar, technically mimi ni mtoto wa mjini! Hiyo Mlimani city nimeimaliza yote, ubungo nimeimaliza, tabata ndio usiseme ila leo nimeingizwa mjini na...
 7. dawa yenu

  Rafiki yangu amekuwa tajiri mkubwa Dodoma, ninafuata njia zake. Tuzifuate

  Hapa nilipo Kuna sehemu wanalima kwa laki moja! Hapo ardhi Ni ngumu sana
 8. dawa yenu

  Rafiki yangu amekuwa tajiri mkubwa Dodoma, ninafuata njia zake. Tuzifuate

  Nina trekta huwa nalimia watu kabla ya kulima kwangu! Heka ni 60, kwenye mashamba ya mpunga heka ni 70.... Chini ya hapo Bora nipaki trekta
 9. dawa yenu

  Rafiki yangu amekuwa tajiri mkubwa Dodoma, ninafuata njia zake. Tuzifuate

  Mkuu nipo Songea na kilimo cha mahindi ndio kinaniweka mjini ukitaka kulima heka kumi angalau uwe na milioni nne! Hiyo laki sita haitoshi hata kukodia trekta kulima hizo heka ishirini! Huko mnatumia mbinu gani?
 10. dawa yenu

  Rafiki yangu amekuwa tajiri mkubwa Dodoma, ninafuata njia zake. Tuzifuate

  Upo sahihi! Ukitaka utajiri kwenye kilimo hasa mahindi angalau fikiria kuanzia heka hamsini!
 11. dawa yenu

  Well done Jakaya Kikwete

  Aiseeee
Top Bottom