Bahati nzuri Dr. Slaa, kwa muda mrefu amekuwa balozi mwaminifu wa "Tanzania" nchini CHADEMA. Read between the lines.
Kwa hiyo ana sifa zote. Nasema tena anazo sifa zote.
Poleni "wapinzani".
Hakutakuwa na ajabu yoyote. Huoni kuwa ndio "wapinzani" pekee walioshirikishwa kwenye serikali ya sasa?
ACT = Asasi ya Chama Tawala (Asasi ya CCM Tanzania)
Ninakubaliana nawe asilimia zote.
Mie Dawayamjinga sijaona wala kusikia kuwa binti wa raisi wa nchi hii amewahi kupata dhahama ya kupewa mimba. Sababu sizifahamu. Ila jambo moja ninajua kuwa kama mabinti wote wanaosoma wangetambulika kuwa ni watoto wa raisi (kama mnavyotaka kuzifanya...
Juzi tu niliota ndoto kuwa huko tuendako wanaosoma vyuo vya serikali watapewa mkopo wa kulipia ada na chakula na mengineyo. Lakini pa kulala, fedha itakuwa inapelekwa chuo husika moja kwa moja ili wakae mabwenini. Tena ndoto ikaendelea kuwa anayetaka kuishi mtaani, (huyo ana uwezo) atatakiwa...
Na wewe Rafiki yake Gwajima Mungu anakuonya hivi:
"Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira nyingi; Wala usiende na mtu wa ghadhabu nyingi; Usije ukajifunza njia zake; Na kujipatia nafsi yako mtego." (MITHALI 22:24-25)
Rafiki umebadili gia majini? Si wewe ulisema kuwa Yesu alisamehe tu kila...
Hebu soma maneno kutoka kwenye Biblia (usimsingizie Yesu bure), tuone kama kweli aliposingiziwa alisamehe (kila wakati)? Soma Yohana 8:39-44 (kama nilivyonukuu hapa chini).
39 Wakajibu, wakamwambia, Baba yetu ndiye Ibrahimu! Yesu akawaambia, Kama mngekuwa watoto wa Ibrahimu, mngezitenda kazi...
Mtaalam, huko sahihi. Weheshimiwa katika vita ya madawa ya kulevya wamegundua kuwa kuna dawa za kulevya ambazo zinahatarisha sana maisha yao. Hizo ni demokrasia na upinzani. Wamegundua kuwa watumiaji wa dawa hizo si tu kwamba wanaathirika wenyewe lakini wanaambukiza wengine na kufanya maisha...
Dawa ya Mjinga alidhani kuwa madhali rais alikuwa mwalimu, first lady naye, akadokezwa kuwa hata waziri mkuu eti aliwahi kukamata chaki na kuongeza waziri mwenyewe wa elimu kuwa profesa aliyebobea katika masuala ya elimu, basi elimu iko kwenye mikono salama. Kumbe!
Alichoeleza mtoa mada ni...
MADIKTETA WOTE DUNIANI HUFANANA
Madikteta wote wanafanana; wawe ni wale ambao ni mtu mmoja mmoja au wawe wa chama kimoja; kufanana kwao kunatabiri vitendo vyao. Hufanana katika mambo makubwa matano:
a. Huamini kuwa wao ndio pekee wenye uwezo wa kutawala (Katika fikra zao hawaamini kama kuna...
Pengine walikuwa sawa. Swali ni kuwa huyo Mungu alichaguo hilo changuo ni mungu yupi? Ukipata jibu la swali hilo wala hutapingana nao. Wako miungu wengi tu, hata kama mtu ameamua kumwandika kwa herufi kubwa haimaanishi chochote.
MADIKTETA WOTE DUNIANI HUFANANA
Madikteta wote wanafanana; wawe ni wale ambao ni mtu mmoja mmoja au wawe wa chama kimoja; kufanana kwao kunatabiri vitendo vyao. Hufanana katika mambo makubwa matano:
a. Huamini kuwa wao ndio pekee wenye uwezo wa kutawala (Katika fikra zao hawaamini kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.