- Thread starter
- #21
Ubongo ukitumiwa vibaya matokeo yake huwa mabaya..
Akili kuhamia tumboni na njaa kuhamia tumboni ni mojawapo ya changamoto zinazotukabili bara la njaa / Afrika.
kweli kabisa
Ubongo ukitumiwa vibaya matokeo yake huwa mabaya..
Akili kuhamia tumboni na njaa kuhamia tumboni ni mojawapo ya changamoto zinazotukabili bara la njaa / Afrika.
mwananchi ya leo?source: mwananchi
Kifuatacho ni Zitto na yeye auanginishwe kwenye serikali ya magufuli. Mpaka hapo act itakuwa imefutika
Zitto anataka awe mfalme wa ACT
Ukishaolewa lazima uwakatae wanaume uliokuwanao awali ilikulinda heshima ya ndoa yako,ndicho anachofanya mama mgwhira kwa sasa"Kama siyo siasa za ubabaishaji Wa siasa za Tanzania, nisingeondolewa kwenye uenyekeiti Mara baada ya kuteuliwa" by Anna
hayo yamesemwa na mgombea Wa urais 2015 kwa tiketi ya chama cha ACT wazalendo
Source: Mwananchi - instagram
mama mama "MAMA" mama huyo "MAMA MAMA HUYO MAMA MAMA HUO MAMA, MAMA HUYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
source Mwananchi instagramamesema haya wapi
Ninamheshimu sana huyu mama tangu wakati wa campaign lakini kwa hilo amekosea. Haingii akili kwa kiongozi mkuu wa chama cha upinzani akawa ni mjumbe wa vikao vya chama tawala. Hapo atalazimika kukisaliti kimoja kati ya hivyo na kwa maslahi ya kila siku yanategemea uhusiano wake na mwenyekiti wa chama tawala uwezekano mkubwa ni wa kukisaliti chama cha upinzani ACT. Mama ilibidi achague kati ya uenyekiti wa ACT na uRC."Kama siyo siasa za ubabaishaji Wa siasa za Tanzania, nisingeondolewa kwenye uenyekeiti Mara baada ya kuteuliwa" by Anna
hayo yamesemwa na mgombea Wa urais 2015 kwa tiketi ya chama cha ACT wazalendo
Source: Mwananchi - instagram
mama mama "MAMA" mama huyo "MAMA MAMA HUYO MAMA MAMA HUO MAMA, MAMA HUYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Mnyiramba akishiba huwa akumbuki hata kidogo.Kama huyo mama alikuwa pandikizi, sawa kusema hayo. Vinginevyo hata kama kuna mapungufu kafanyiwa na act, kwa mwenye busara bado ana wajibu wa kukishukuru chama hicho. Ni kurunzi ya act iliyo mumlika na kuonwa na walio mweka alipo.