Recent content by Davis chelsea

  1. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua duka la jumla

    Nipo Dar maeneo ya Kimara..nataka kufungua biashara ya duka la jumla,kwa vitu vya kawaida kama unga sukar mafuta n.k.....kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ni tahadhari gani za kuchukua? kwa anayejua anawwza kunipa breakdown ya hii kitu?
  2. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la black screen kwenye laptop yangu

    nikiconnect kwenye monitor ya desktop inapiga kazi fresh
  3. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la black screen kwenye laptop yangu

    nipo kimara mkuu
  4. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la black screen kwenye laptop yangu

    Habari za hapa wakuu, Nilishut down laptop yangu aina ya lenovo g500 nilipokuja kujaribu kuiwasha inawaka poa kila kitu kinafanya kazi hata ukiweka cd inazunguka vizuri lakin screen haionyeshi chochote (total black), nimejaribu soln hizi bila mafanikio, nimebadili memory na pia nimetoa bettry...
  5. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Kuweka window

    nashukuru mkuu ..
  6. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Kuweka window

    habari za jioni waungwana..nimenunua pc mpya aina ya TOSHIBA..ila hailkubali kila nikijaribu kuweka window; inaandika NO BOOTABLE DEVICE--PLEASE RESTART SYSTEM,pia nimewapa baadhi ya watalam wameshindwa..mwenye idea yeyote naomba mawazo yake
  7. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    asante mkuu..ivi bajaji kwa siku unatakiwa bosi apewe elfu 15?d
  8. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    mim niepanga korogwe kimara,sina boom,mtaji nimepewa na wazaz hawataki niwategemee hata kwa hela ya boxer,wanataka nichape kazi....
  9. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    nawasalimu wakuu....ninamtaji wangu wa milioni tano nataka nifanye biashara,,mimi ni mwanafunzi najiunga na ifm naishi kimara nataka walau nifanye biashara ya kuniwezesha hela ndogo ndogo za matumizi yangu ya kila siku,,naombeni ushauri wenu ni biashara gani ambayo itanifaa na rahisi kumanage...
  10. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Uchangudoa Kinondoni na Buguruni

    ifanyike kidigital...walipe kodi na wapewe zile mashine za TRA kwa ajili ya risti
  11. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Mgomo wanukia UDSM!

    yule ilieandamana peke yake hadi ikulu
  12. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Mgomo wanukia UDSM!

    Rev squre kama kawa...ivi kina emeka,al shabab na francis ndungur wamerudishwa? Revolution
  13. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania Kukosa mkopo+jkt+umasikini..mmeni encourage kukaba na kufanya matukio makubwa

    dili la sembe nalitafuta sema sijapata mwanga tupakuanzia hahaha
  14. Davis chelsea

    JamiiForums Tanzania msaada IFM first year registration tafadhali

    vipi kuhusu hostel za pale ndani? Maombi lini
Back
Top Bottom