Kuweka window

Kuweka window

Davis chelsea

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
93
Reaction score
10
habari za jioni waungwana..nimenunua pc mpya aina ya TOSHIBA..ila hailkubali kila nikijaribu kuweka window; inaandika NO BOOTABLE DEVICE--PLEASE RESTART SYSTEM,pia nimewapa baadhi ya watalam wameshindwa..mwenye idea yeyote naomba mawazo yake
 
Jaribu kwakutumia Flash Drive !
Hao wataalamu waambie watengeneze bootable flash waweke windows afu wacheki kama itakubali !

Ila angalia settings za Boot priority back then !
 
nashukuru mkuu ..
 
habari za jioni waungwana..nimenunua pc mpya aina ya TOSHIBA..ila hailkubali kila nikijaribu kuweka window; inaandika NO BOOTABLE DEVICE--PLEASE RESTART SYSTEM,pia nimewapa baadhi ya watalam wameshindwa..mwenye idea yeyote naomba mawazo yake

ukiachana na booting priority, pia kuna shortcut hapo kama umepachika bootable flash au cd, bonyeza esc pale tu pc inapooanza kuwaka. Itakupa option kibao.. Chagua bootable devices, pc nyng ni kwa kubonyeza F9
 
Mkuu nyingi ni F12 for Boot
na F2 for Setup !
 
Back
Top Bottom