Recent content by DaVinco Limited

  1. DaVinco Limited

    Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

    Pole sana Mkuu, Mamlaka ifanyie kazi hizi changamoto.
  2. DaVinco Limited

    Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

    Laki na nusu kwa eka vipi? Kama inafaa nicheck DM tuyakenge.
  3. DaVinco Limited

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    Huwa hawana uvumilivu wa kusubiri Gari itoke Japan mpaka ifike. Ndio Maana wenye yard wanafanya biashara sana.
  4. DaVinco Limited

    Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

    Habari Wakuu, wapi naweza pata Instrument cluster ya Nissan Hardbody ya Zamani 1998. Iwe mpya au hata used sawa tuu.
  5. DaVinco Limited

    Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

    Fyn by Falsafa zipo poa sana, kwa wanaohitaji kwa jumla wanaweza kuwacheck imart.co.tz kwa 0737397700 Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  6. DaVinco Limited

    Kwa Mwanza, wapi nitapata KYB Shocks? Genuine and New?

    Mkuu unaweza kuweka za Rob's Magic ni Poa zaidi, zipo built for African Roads, unaweza kutupigia tutakutumia popote Tanzania. Tucheck WhatsApp kwa 0737397700 au imotors.co.tz Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
  7. DaVinco Limited

    Car4Sale Miliki gari ya heshima Fortuner ya mwaka 2013

    Ukiwa na hizi za 1KZ uwe unanicheck Engineer 0737397700
  8. DaVinco Limited

    INAUZWA Jipatie Machine za Kuhesabu na Kutambua Note Fake

    Machine Bado zipo, Karibuni Sana
  9. DaVinco Limited

    INAUZWA Jipatie Machine za Kuhesabu na Kutambua Note Fake

    Mzigo Mpya wa Machine za Kuhesabu na Kutambua Mote Fake Umefika. Karibuni Sana. Tupigie 0737397700
  10. DaVinco Limited

    Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

    Bei zinaweza range vp Mkuu? Pamoja na Odometer
  11. DaVinco Limited

    Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

    Wakuu wapi naweza pata side mirrors za Nissan Hardbody? Pamoja na Indicators?
  12. DaVinco Limited

    INAUZWA Jipatie Machine za Kuhesabu na Kutambua Note Fake

    Kwa mawakala na wadau wanaohesabu noti nyingi, Rahisisha kazi zako kwa kutumia Machine ya Kuhesabu na Kutambua Note Fake (Money Counter Machines). Machine zipo za Kutosha na Zina Warranty ya Mwaka Mzima. Tunatuma Tanzania Nzima. Tupigie Sasa kwa 0737397700 Karibuni Sana!
  13. DaVinco Limited

    Shituka haraka sana unapoona biashara yako imekuwa yebo yebo

    Mawazo mazuri, Biashara yoyote lazima uwe unajifanyia tathmini, ukiona haufikii malengo yako inabidi ujue changamoto ni nini na utafute njia sahihi kurekebisha hizo changamoto. Location inaweza kuwa sio changamoto ila labda unavyo jibu wateja na bei zako.
Back
Top Bottom