Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,149
- 190,639
Kale kamlio ka tsss...tsss...tss mwenyewe nakafurahia sana😂😂😂nina yangu moja ya kulia inavuja oil kama nguruwe alie period..
Ila ninaipenda nikiingia kwenye kashimo inatoa kamlio flani amazing Kama vile unatoa upeppo kwenye tairi..![]()



