JamiiForums Tanzania
Hai moshi
Na Gaudence Msuya,kilimanjaro
Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa kilimanjaro ndg LENGAI OLLE SABAYA, Amerudisha shamba kwa wananchi chini ya bodi ya LYAMUNGO AMCOS,Lilokuwa likimilikiwa na KNCU,kinyume na taratibu za kisheria leo tarehe 26/3/2019 baada ya mkuu wa wilaya hiyo kupokea malalamiko...