Mh. Raisi Wa jamuhuri ya muungano Wa Tanzania, ama waziri mkuu Wa Tanzania, tumeona jinsi vijana wengi walomaliza chuo jinsi mlivo wapa matumaini ya ajira 70,000 na vijana wengi wakashindwa kutafuta fulsa binafsi za kufanya lakin hatimaye mmewachinjia baharini.
Si kwamba vijana hawawezi...
kuna majitu yanakera sana. . unakuta jenyewe lilikosa kazi likaamua kujipendekeza kwa wakubwa ili lihurumiwe lipatiwe hata kibarua cha kufua nguo ... baadaye yanateuliwa kuwa makuu ya ... afu yanaropoka ropoka tu kijinga... Mara ooh vijana wajiajiri.... watumishi wapunguzwe... hovyo kabisa....
Hii imetokana na ukawa kugombania jimbo. Cuf walisimamisha mgombea udiwan na ubunge na chadema nao vivyo hvyo. Cuf halikuwa jimbo lao ktk mgawanyo ila mgombea wa cuf alikatwa ktk cdm kwa kuwa alishutumiwa ku2mia rusha. Baada ya kukatwa jina lake ndpo akahia cuf na kuchukua form. Adi sasa ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.