Recent content by Davidy okello

  1. D

    JamiiForums Tanzania KINACHOENDELEA BODI YA MIKOPO NI SINTOFAHAMU NA KIMYA KIZITO

    Mkopo awamu ya tatu ushatoka idadi ya wanafunzi 4060, wamenufaika,, kikao cha kuyaidhinisha majina hayo ndo kinafanyika sasahivi,, baada ya muda mchache majina yatapandisha mtandaoni,, ila batch ya tatu isha tumwa vyuoni
  2. D

    JamiiForums Tanzania KINACHOENDELEA BODI YA MIKOPO NI SINTOFAHAMU NA KIMYA KIZITO

    Mkopo awamu ya tatu ushatoka idadi ya wanafunzi 4060, wamenufaika,, kikao cha kuyaidhinisha majina hayo ndo kinafanyika sasahivi,, baada ya muda mchache majina yatapandisha mtandaoni,, ila batch ya tatu isha tumwa vyuoni
  3. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo awamu ya tatu lini kuna watu awajalipoti chuo mpaka sasa

    Msijali vijana nilifanikiwa kuonana na mmoja wa viongozi pale jana akasema kati ya leo au kesho watatoa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Sad News

    Nimekupata mkuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Sad News

    Kwann iwe udsm mkuu, afuu sikwelewi unapodema ud ndo chanzo.
  6. D

    JamiiForums Tanzania WALAKA TCU: Maamuzi ya Tume.

    Mwenye namba za tcu anisaidie wadau
  7. D

    JamiiForums Tanzania WALAKA TCU: Maamuzi ya Tume.

    Mwenye namba za tcu anisaidie wadau
  8. D

    JamiiForums Tanzania FIRST MULTIPLE ROUND BUT NOT CONFIRM IN ANY INSTITUTION

    Hivi inakuwaje hizi mamb, watu tumeconfirm vyuo na profile zinaonyesha tiali afu tcu wanatoa orodha hatuj confirm
  9. D

    JamiiForums Tanzania UDOM second round

    Mmmmh, hilo nalo neno asee, bado wiki tatu loan board watoe majina, bado wiki tano baadhi ya vyuo vifungue,, na wakati huo huo kwenye hii second round kuna mambo ya multiple selection,, daah hapo cjui itakuwaje.....,,, ila sio mbaya maana loan board nao wana round tatu za kutoa majina,, so...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hivi nje ya HESLB nani anaweza dhamini elimu ya juu nchini?

    Em nambie vizur kuhusu hiki
  11. D

    JamiiForums Tanzania Shule za Secondari 10 zilizokuwa zikibamba Mbeya miaka ya 1990-2005

    Jamani hizo ni porojo tuu mnaongea shule ilikuwa mwakaleli.....,, mwantimwa my headmaster alii inyosha sana shule asee
  12. D

    JamiiForums Tanzania UDSM TUJUANE

    Mmh sema kweli,, mi nakuja electrical hapo
  13. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kurudi Chuoni ukoje kwa Mtu ambaye aliacha masomo bila ya kutoa taarifa?

    Kama uliondoka kimya kimya, kaingie kimya kimya pia mkuu
Back
Top Bottom